Wanasema wamecheza vizuri kuliko wao 🤣
Wamezimia tu kwanza, kufa ni kule NEW AMAAN COMPLEXKwan hiyo inamaana wamekufa kiume?😇
Nyie siku hizi si mnabebwa na marefa,mnacheza vipindi vitatu.Kama yanga wakishinda hii mechi basi tuseme ni uwanja utakuwa umewabeba na si uwezo wao, maana mara ya mwisho kucheza walitoka draw hivyo kwa matokeo yale tunaassume jkt na yanga wanatoshana nguvu si ndio, kama walivyosema kwamba siku ile kilichowabeba simba dhidi ya al masry ni uwanja maana uto ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia..
UmeniwahiMubashara kutokea MkwakwaniView attachment 3338242
Mimi nimeongelea caf mkuu, siongelei hizo timu mnazowaahidi pesa ili wacheze karate uwanjani na kupoteza muda, halafu marefa wakiwaadhibu kwa makosa yao mnalia simba wanabebwaNyie siku hizi si mnabebwa na marefa,mnacheza vipindi vitatu.
Nipo braza, habari za siku.....Sijakuona long time.
Utopolo
Nipigieeeeeeeee nimeishiwa dakikaUko wapi uje unitulie ✅
Mbona tupo mjini saa nyingi na afande anapetaKolo watashuka tushaua maafande
😂😂😂😂Ila mobeto
Hivi kweli atakuwa anayaona ?Linawaza many*nyo ya mobeto
MbayaNipo braza, habari za siku.....
😃🤣Hivi kweli atakuwa anayaona ?
Umeongelea CAF kwenye kombe la CRDB,sasa kuna ajabu gani mimi kuongelea ligi ya NBC ambayo mnatembeza bahasha kwa marefa.Mimi nimeongelea caf mkuu, siongelei hizo timu mnazowaahidi pesa ili wacheze karate uwanjani na kupoteza muda, halafu marefa wakiwaadhibu kwa makosa yao mnalia simba wanabebwa
🤣🤣View attachment 3338248
Tukumbushane parade yetu iliyofuatiwa na supu ya bure tuliyopewa na huyu mtukufu.