Yanga kwisha habariTawile mwanetu ๐๐
Sijui kwanini nimecheka sana,but nimefrahi sana๐,Sema kama tukifuzu nadhani Timu yetu itakuwa imejifunza kitu.
Nikimaanisha hatutajaa kichwa tena tukianza vizuri mechi za mwanzo mwanzo.
Hakuna kisasi kwenye mpira. Yanga kwenda Mwakalobo Inahitaji bahati na huwa inatokea.Mechi ya kisasi hii leo Al ahly hawajasahau walichofanyiwa Morocco
Hahahaa. Ushasahau kama umeishia makundi.Nikupe Cha kuandika?
NI ishara kwamba damu ya MO29 bado inamlilia Mungu for justice.Azam kashapigwa, tunaweza kuishia hapa kwa timu zote 4.
Sisi tutoe hebu.Azam kashapigwa, tunaweza kuishia hapa kwa timu zote 4
Kiongozi umri wako sio wa kufanya ulozi mkuu ๐๐๐๐Kamilisha ratiba urudi mavumbini
Nilishastaafu mkuu wangu๐Kiongozi umri wako sio wa kufanya ulozi mkuu ๐๐๐๐
Hahahaa! Mie nkajua alishakusurprise muda eti. ๐คฃ๐คฃSijui kwanini nimecheka sana,but nimefrahi sana๐,
Aisee Kuna kivuruge wangu kani supries๐ฅฐ
Sasa tulieni muangalie game ya viwango vya duniaNilishastaafu mkuu wangu๐
Umewahi kucheza mpira?Inatokea kwenye mpira. If you are man of the game
Usichoelewa nini wakati una forward mbovu?We nae mbona hueleweki.
Hahahah,Wala hata hakuniambiaga,yaani yule daah๐Hahahaa! Mie nkajua alishakusurprise muda eti. ๐คฃ๐คฃ
Na mie pia nilifurahi siku naambiwa. Haya karibu sana kwetu. ๐ฅฐ
Hahahaaa. Itakuwa alikuwa anasahau.Hahahah,Wala hata hakuniambiaga,yaani yule daah๐
Ahsante nitakaribia๐