kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Mpira hauna hizo,Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
USM Alger alimfunga al ahly
Halafu Wydady inafungwa hadi na timu zilizochini yake kama ASEC, simba nk
To mazembe alimpiga mamelody
Mpira wa Madeama uwanjani upo serious sio poa