Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu walilalamika hawajapewa uwanja wa mazoezi masikini. Wamepewa baadae kabisa.Hii dharau chama langu litaijibu kwa vitendo leo Medeama lazima afe Young Africans 5-0 Medeama [emoji617][emoji617][emoji617][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Meza dawa zako za pressure kabisa. Hatutaki usumbufuKila la kheri my team, leo ushindi lazima.
Mapeeeema niende zangu kushuhudia live.
Sheria inawataka siku moja kabla ndiyo wafanye mazoezi kwenye uwanja utakaotumika kwa ajili ya mechi.Halafu walilalamika hawajapewa uwanja wa mazoezi masikini. Wamepewa baadae kabisa.
Hili likiambatana na ushindi ni sawa.Sheria inawataka siku moja kabla ndiyo wafanye mazoezi kwenye uwanja utakaotumika kwa ajili ya mechi.
Nawapongeza wadau wote waliowafanyia hiyo hujuma ya kuwanyima uwanja wa mazoezi. Kwa hapa tulipofikia, siyo mbaya kumharibu kisaikolojia mpinzania wako, kupitia vitu vidogo kama hivi.
Mnavyoogopaga kufungwa nyie, najua wengi wenu leo mtakuwa mnazikiliza mechi mkiwa kwenye uvungu wa vitanda.Kila la kheri my team, leo ushindi lazima.
Mapeeeema niende zangu kushuhudia live.
Mimi mbona ndio naipasi hapa saa 7 tu niko uwanjani?Mnavyoogopaga kufungwa nyie, najua wengi wenu leo mtakuwa mnazikiliza mechi mkiwa kwenye uvungu wa vitanda.
Tena hakuna siku mwanayanga anaogopa kuvaa jezi yake kama leo.
Uniambie tu uko upande gani.Kila la kheri my team, leo ushindi lazima.
Mapeeeema niende zangu kushuhudia live.
Hili litimu tuliligonga sita na tena hili litimu halina historia na champions league....Lilitupiga 5 hili timu lakini manina
Team? Mi si Yanga jamani?Uniambie tu uko upande gani.
Pamoja na gubu lao wakishinda lakini kiuzalendo zaidi naitakia Yanga ushindi wa 1-0MATCH DAY.
YANGA VS Medeama
[emoji354]️ 1600hrs
[emoji909] Benjamin Mkapa Stadium.
[emoji413] 20.12.2023
Najua, nilimaanisha pale Uwanjani.Team? Mi si Yanga jamani?
Hivi best angu hili litimu mbona unateseka nalo... Haya matimu huwa mnayaokota wapTeam? Mi si Yanga jamani?
Wadau huwa mnatoweka Mapema sana. 😂Hao matapeli Leo hapa wamaedandia mtumbwi wa vibwengo
Sisi 3
Medeama 1