FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Mshindwe wenyewe tu!! Madeama hata kwenye 30 bora za Afrika haimo!! Na mkiiangusha ni sawa na kusukuma mlevi, msidai sifa yoyote!!
Mpira hauna hizo,

USM Alger alimfunga al ahly


Halafu Wydady inafungwa hadi na timu zilizochini yake kama ASEC, simba nk

To mazembe alimpiga mamelody


Mpira wa Madeama uwanjani upo serious sio poa
 
Hii dharau chama langu litaijibu kwa vitendo leo Medeama lazima afe Young Africans 5-0 Medeama [emoji617][emoji617][emoji617][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Hv kumbe hili litimu halijashinda mechi hata moja..... Haya matimu ya mtaani ni shida kweli kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…