FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Kuweni na Akiba.
Ukiona unatumia maneno ya kusema "kuweni na akiba" ujue mpaka hapo ushaingiwa na uoga

Unajua kwanini siku mlipopangwa na Rivers mlishangilia na bila kuja na maneno ya "akiba ya maneno"?

Ni kwasababu ulijua ni kibonde unamuweza
 
Usione Yanga anafanya na wewe unajilinganisha nae, mwenyewe ulipigwa mkono ukatulia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Bwana wee toka mwanzo hawa uto walipanga kupata point 6 kwa Madeama kwa sbb waliona wana wamudu...so kwao ni kibonde wao na timu yotee..ndo kibonde huyu...
Ongea taratibu, Belouizdad wakikusikia unawaita Belouizdad vibonde wanaweza kukupiga makofi
 
🤣🤣🤣 bila shaka umekubali.
Anhaa kumbe ulisema tatu eeh?

Aah ilikiwa simple sana kubashiri dhidi ya hawa wabovu

Vipi twende na utabiri huo huo na kwenue mechi ya Al Ahly?
 
H2H ni criteria ya nne ina anza 1points, 2 goal difference, 3 goal scored then head to head someni kanuni
 
Aisee,Hao Belarouzidad na Al Ahly hata wakitoa draw hali itakuwa tete kwa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…