FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023


Uwezekano wa Simba na Yanga kuishia nafasi ya 3 ni mkubwa sana, hivyo tunapotoa probability in our favour tukubali pia probability zinazotoa nafasi kwa timu zingine hata kama hatupendi. Sio unajisemea tu kuwa unakwenda kumfunga Asec utafikiri wewe ni Mungu.

Mimi nasema Yanga kupenya bado hakuna ujakika kwasababu kundi lao wote bado wana nafasi, hata hawa Medeama waliofungwa leo bado wana nafasi.

Pia kwa upande wa Simba japo wanazi wa Simba wanaamini kuwa tayari wanapenya lakini wanasahau kuwa mpira kuna muda huwa na matokeo katili sana ambapo unaweza kushangaa Simba akafungwa na Asec halafu Wydad akazinduka akashinda mechi zake hizo mbili na kufikisha point 9.
 
Yaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???
 
Yaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???
Kabisa anajieleza sana roho imemuuma sana
 
Hatuamini kama tumepita ila matumaini ya kupita ni makubwa kulingana na upinzani wa game tunazoenda kuzi face.

Asec licha ya kwamba amepita lakini sitarajii kuwa mechi yao kule kwao itakuwa rahisi.

Kwasababu najua atahitaji point tatu ili kujiweka vizuri aongoze kundi kusidi kwenye robo apate mpinzani mwenye nafuu.

Lakini pamoja na hivyo kwa kuangalia mechi za Asec zote na jinsi alivyocheza hapa akiwa ndio kwanza anasaka nafasi ya kusonga mbele kuna mambo ambayo lazima tukubaliane.

Ile mechi ilikuwa ni yetu ila tulishindwa kwasababu ya matatizo yetu.

Mechi ya marudiano itakuwa kule Ivory Coast hata kama sio kushinda ila point moja bado sio mbaya.

Japo inawezekana hiyo point moja usiipate lakini kwa stats zetu tulivyokutana naiona nafasi ipo kwetu.
 
Hesabu za kihasibu
 
Yaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???

Kigezo hapo sio goli tu la ugenini

Kigezo ni idadi ya magoli yaliyofungwa ugenini mlipokutana.

Yanga hajafunga goli lolote ugenini walipokutana na Cr Belarouzidad

Kwa kigezo hicho Yanga akiruhusu bao lolote akiwa nyumbani maana yake ametolewa licha ya idadi ya magoli atayopata
 
Leo ilikuwa mechi ya mabingwa wa nchi zao. Simba na Wydad ni mabingwa wa nchi gani?
VITI MAALUM
Kama kigezo ni ubingwa mbona hata Zalan alikuwa bingwa

Yapo mataifa ambayo timu iliyopo nafasi ya 5 nafasi hiyo ikawa na hadi kubwa kuliko timu iliyokuwa bingwa kwenye nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…