Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Cheki naye huyu.Kasome kanuni usikariri mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki naye huyu.Kasome kanuni usikariri mambo
Ngoja kwanza usiparaze paraze maneno.
Fikiria Al Ahly atoe sare na CR Belouzidad kisha mechi yenu ya mwisho na Cr Belarouzidad mshinde.
Maana yake hapo utakuwa na point 8 na game ngumu ya mwisho ambayo ni Al Ahly akiwa kwake
Wakati huo Belarouzidad ana point 5 na game simple dhidi ya Medeama tena akiwa nyumbani.
Hapo maana yake mkifungwa na Al Ahly na Cr Belarouzidad kule akishinda atakuwa na point 8 kama zako.
Hapo ndio h2h itaamua.
Nani kafungwa goli nyingi mlipokutana ndio ishu ambayo itakuwa mezani
Sasa hapa ukiangalia ishu sio ushindi tu, ishu ni ushindi wa goli ngapi.
Ukimfunga Belouzidad goli 3 (kitu ambacho ni kigumu) bado pia hapo haikupi guarantee ya kupita kuna kigezo cha goli bora.
Lakini mimi kipengele kilikuwa ni Wydad tu waliobaki wote nakanyaga tena sio tu napita bali namaliza nikiwa naongoza kundi
Wewe ndio una tatizo soma vizuri kipengele number 20
umesikia matokeo mwasibu?Kama Madeama wanaweza kupiga hata 6 wapige tufurahi
Sisi ni bora kwa sababu tulimfunga ihefu au umesahau
Ni muhasibu wa mchongoumesikia matokeo mwasibu?
Yaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???Ngoja kwanza.
Katika sheria za CAF H2H ya magoli ni kipengele namba 3 sio nne kama hii yako ya uchochoroni inavyoonesha.
Pia idadi ya magoli yote uliyofunga kwa mzunguko ni kigezo cha mwishoni kabisa (namba 5) ikiwa hivyo vigezo tangulizi vimeshindwa kuamua
Kwa hiyo nakuwekea hapa sheria ikusaidie kabla ya kujifanya critic
Iwapo timu mbili zitatoshana idadi ya point basi hivi ndio vigezo vitavyoangaliwa kuamua nani apite nani abaki.
1. Idadi ya point zilizokusanywa baina ya hizo timu mbili zilipokutana
Ufafanuzi
Yanga alifungwa bao 3 na Cr Belarouzidad maana yake mechi hiyo Cr Belarouzidad alipata point 3
Halafu Yanga kama mechi yake na Cr Belarouzidad ya marudio akatoa sare basi hiyo tu itatosha kuamua Cr Belarouzidad apite
2. Utofauti wa goli bora lililofungwa baina ya hizo timu mbili zilipokutana.
Ufafanuzi
Ikitokea Yanga kashinda kwa penati dhidi ya Cr Belarouzidad na kule Algeria kulipatikana goli zuri maana yake safari ya Yanga inaishia hapo.
3. Idadi ya magoli ambayo hizo timu zilipata zikiwa away zilipokutana.
Ufafanuzi
Yani ikiwa Yanga atamfunga 10-1 Cr Belarouzidad basi Yanga atakuwa ameondolewa kwakua hakupata bao lolote ugenini.
Na hata ikitokea kuwa ameshinda kwa clean sheet basi idadi ya mabao itaangaliwa. Kama itaonekana Yanga kashinda goli above 3 atapita lakini below hatopita
Hii ndio sababu watu walikuwa wanajiuliza kwanini Benchika aweke mabeki saba. Sababu ilikuwa ndio hii kuwa Wydad wangepata bao halafu huko mbeleni tungefungana kwa point basi tungekuwa tumetolewa.
4. Ikiwa hayo yote ya juu hayatoamua kupitisha mshindi basi kigezo cha idadi ya magoli yote yaliyofungwa kwa jumla ya mechi zote za makundi kitaamua yupi wa kupita.
Ufafanuzi
Hapa sasa ni baada ya criteria namba 1,2,&3 kushindwa kuamua yani timu zote mbili zilingane kila kitu kwenye hizo criteria (kitu ambacho sio rahisi) ndio hapo kigezo cha kufunga mabao mengi kwa jumla ya mechi zote ndio kitazingatiwa.
Kabisa anajieleza sana roho imemuuma sanaYaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???
Hatuamini kama tumepita ila matumaini ya kupita ni makubwa kulingana na upinzani wa game tunazoenda kuzi face.Uwezekano wa Simba na Yanga kuishia nafasi ya 3 ni mkubwa sana, hivyo tunapotoa probability in our favour tukubali pia probability zinazotoa nafasi kwa timu zingine hata kama hatupendi. Sio unajisemea tu kuwa unakwenda kumfunga Asec utafikiri wewe ni Mungu.
Mimi nasema Yanga kupenya bado hakuna ujakika kwasababu kundi lao wote bado wana nafasi, hata hawa Medeama waliofungwa leo bado wana nafasi.
Pia kwa upande wa Simba japo wanazi wa Simba wanaamini kuwa tayari wanapenya lakini wanasahau kuwa mpira kuna muda huwa na matokeo katili sana ambapo unaweza kushangaa Simba akafungwa na Asec halafu Wydad akazinduka akashinda mechi zake hizo mbili na kufikisha point 9.
Hesabu za kihasibuHatuamini kama tumepita ila matumaini ya kupita ni makubwa kulingana na upinzani wa game tunazoenda kuzi face.
Asec licha ya kwamba amepita lakini sitarajii kuwa mechi yao kule kwao itakuwa rahisi.
Kwasababu najua atahitaji point tatu ili kujiweka vizuri aongoze kundi kusidi kwenye robo apate mpinzani mwenye nafuu.
Lakini pamoja na hivyo kwa kuangalia mechi za Asec zote na jinsi alivyocheza hapa akiwa ndio kwanza anasaka nafasi ya kusonga mbele kuna mambo ambayo lazima tukubaliane.
Ile mechi ilikuwa ni yetu ila tulishindwa kwasababu ya matatizo yetu.
Mechi ya marudiano itakuwa kule Ivory Coast hata kama sio kushinda ila point moja bado sio mbaya.
Japo inawezekana hiyo point moja usiipate lakini kwa stats zetu tulivyokutana naiona nafasi ipo kwetu.
Kabisa,hiyo ndio itaamua kama tunavuka kwenda robo fainaliInatakiwa Al Ahly ashinde kwa Belouizdad zaidi ya hapo itamlazimu Yanga akamfunge Al Ahly kwao
Yaani Yanga akilingana kila kitu na CR B halafu Yanga alishinda Goli 10-1 wakati yeye alifungwa Goli 3-0 Yanga atatolewa Kwa kanuni ya goli la ugenini!.. hivi unaijua vizuri kanuni ya goli ya ugenini???
Leo ilikuwa mechi ya mabingwa wa nchi zao. Simba na Wydad ni mabingwa wa nchi gani?Hiyo sio point
Akiwa kwake, hapa tunashughulika naye ipasavyo.[emoji1787][emoji1787] si alikubonda huyu?
Haya kunywa maji ushushie kibonde ulichokula kwa mkapa...Nijifunze kitu gani kwako, sikioni........
Kama kigezo ni ubingwa mbona hata Zalan alikuwa bingwaLeo ilikuwa mechi ya mabingwa wa nchi zao. Simba na Wydad ni mabingwa wa nchi gani?
VITI MAALUM
Baadae baadae..!😂😂😂
wivu tu, kisa Jana mmetabasamu..?
'baadaye hebu'...!!
Anajieleza sanaLini utapata akili wewe? H2H ni criteria ya nne ujuaji mwingi akili kisodaView attachment 2848316