FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Unasema Medeama Wabovu wamefungwa 3 Lakini Kila Ukikumbuka ulikula chuma 5 unabaki unasonya tu.... MxiiiiiliEW..Sijui itakuwaje 😂😂😂
20231217_093045.jpg
 
Hatuamini kama tumepita ila matumaini ya kupita ni makubwa kulingana na upinzani wa game tunazoenda kuzi face.

Asec licha ya kwamba amepita lakini sitarajii kuwa mechi yao kule kwao itakuwa rahisi.

Kwasababu najua atahitaji point tatu ili kujiweka vizuri aongoze kundi kusidi kwenye robo apate mpinzani mwenye nafuu.

Lakini pamoja na hivyo kwa kuangalia mechi za Asec zote na jinsi alivyocheza hapa akiwa ndio kwanza anasaka nafasi ya kusonga mbele kuna mambo ambayo lazima tukubaliane.

Ile mechi ilikuwa ni yetu ila tulishindwa kwasababu ya matatizo yetu.

Mechi ya marudiano itakuwa kule Ivory Coast hata kama sio kushinda ila point moja bado sio mbaya.

Japo inawezekana hiyo point moja usiipate lakini kwa stats zetu tulivyokutana naiona nafasi ipo kwetu.
Bado hujui mpira
 
Back
Top Bottom