FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Medeama walistahili kufungwa zaidi ya goli moja.

Walikuwa na makosa mengi sana ya wazi lakini bahati imekuwa kwao tu kwasababu wanaofika fika kule mbele ni kina Musonda, Kibabage na Max ambao wamekuwa na maamuzi mabovu ya mwisho
kama zitatolewa takwimu za kumiliki kabumbu kwa ligi ya mabingwa yanga anajua sana

sio kusema madeama ana stahili yeye pia hapendi analazimishwa na wanao jua
 
Msi mlaumu mtu, Yanga ikiwa inacheza hakuna anayetaka kushughulika na kitu chochote zaidi ya kuangalia mechi.

Mtu ata kama ana mkojo ata vumilia, Unachezwa mpira mkubwa Sana.
Mods endeleeni ku enjoy.
 
Mimi na huu uzee wangu siwezi kukosa magoli ya wqzi kama wale.

Na kama huamini, waulize Maveterani wenzangu wa Korogwe Veterans, watakuambia kuhusu Babu mwenye miaka 70, anayefunga mpaka magoli ya tiktaka!! Unanichezea mimi wewe!! 😤
Umetisha sana mnazi mwenzangu...
 
Clear chances mbili zingekuwa 3 Mpaka sasahivi .

kibabage ameshamweka benchi lomalisa
Bila shaka umeiacha na ile ya Aziz Ki shuti lake lilitoka nje sentimita chache golini. Ulihesabu na hiyo inakuwa nne.
 
Back
Top Bottom