FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Yaani hawa medeama ni wabovu kuliko hata huo ubovu wenyewe, hata kujilinda hawajui mwamnyeto anadribble mpira kuanzia kwake hadi kwenye lango la mpinzani, halafu kuna Matakle linakuambia simba kacheza na kibonde, sasa hawa wanaocheza na nyuma mwiko tuwaitaje, kimteremko au ?
 
Ni haki yetu ya msingi, haki haiombwi ujue![emoji1787][emoji1787] mmekutana na watu wanadai mishahara hawana hamasa ya kucheza...mnajisifuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alooooh...si nyie mlisema tutakufa nyingi....Bhana weeeeee...

Kwani Mungu ni Eroni sasa....Kiko wapi[emoji28]
 
mi navojua mtu wa kongo anayeulamba ni mcheza dansi sasa wanatopolo wakasajili nzegel wakidhan muchezaj kumbe ni tapel na mcheza shoo
 
Back
Top Bottom