Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Yule Pacome ananikumbusha China,Gaga au Hussein Aman Marsha unaweza kudhani mpira ni kitu kirahisi akichezea mpira yeye utadhani kila mtu anaweza...kama Ivory Coast wamempa Uprofessa wacha nikubaliane nao tuu..