SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mumeshaanza mayowe yenuNilijua wàamuzi ni Tatizo la Tanzania pekee kumbe ni Afrika nzima. Hizi offside mbili anajua mwamuzi mwenyewe.
Hiyo ni nia aliyookotea hela, kila siku lazima apiteSifa zinawaharibu, atakuwwa chizi kama NDEMLA, kusifiwa ana mashuti akawa anabutua butua tu mpira.
Kina GERRARD huko walikuwa na nguvu za kupiga lakini wanapiga kwa nyakati.
Mechi ya Yanga haina goliWe unazingua, mi naulizia mechi ya Yanga
Wakikaa vibaya watajikuta wana kikosi cha kumfunga Simba na droo kwa Azam na lawama kwa TFFLabda wafunge mabakuli yao
Ingekuwa kwenye league kuu ndo imetokea hvyo basi kelele zake zisinge kuwa za nchi hii
Akituliza akili, kuna hela zaidi ya hizo, kipaji anacho.Hiyo ni nia aliyookotea hela, kila siku lazima apite
Kipindi cha pili Yanga inafunga 3 wasipofunga niite mbwa nimekaa paaaaaleYanga inasikitisha
Nabi hana LeseniKocha Nabi ikikupendeza mtoe Ambundo halafu nafasi yake aingie Herritier Nakambo ili timu itengeneze nafasi nyingi zaidi za kufunga.
Line 1 amezingua! Goli la Mayele lilikuwa ni goli halali kabisa.
Wamefika jana saa 5 na wapo 11 tu nje hakuna substitution na watu jasho linawatoka.hawa Zalan wamefika jana saa tano,leo hii wapo uwanjani awana cha kuzoea mazingira wala kufanya mazoezi.
46 minutes ago! Ngapi ngapi mkuu
Sijawahi kuwa Yanga, huwa naongea mapungufu yanayoonekana. Ameongea Scars kuhusu upigaji holela wa Wachezaji wa Yanga nimemuunga mkono. Siongei kulalamika Ila naongea udhaifu wa mwamuzi wa pembeni.
SawaYanga ni mbovu...
According to mbumbumbu fc fans.Nabi hana Leseni
Yanga tunaujumiwa! Na hii yote inasababishwa na tff na karia wake, wanatuhujumu kwa kweli hakuna offside paleKocha Nabi ikikupendeza mtoe Ambundo halafu nafasi yake aingie Herritier Nakambo ili timu itengeneze nafasi nyingi zaidi za kufunga.
Line 1 amezingua! Goli la Mayele lilikuwa ni goli halali kabisa.