Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwani vipi ina maana goli limekataliwa au?Na hapo wana uchovu wa safari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vipi ina maana goli limekataliwa au?Na hapo wana uchovu wa safari
Hivi leo waliinglia mlango upi?Uto bila uchawi ni laini kama kende
Ayaaa!! kumbe ni offsideAziz Kiiii
Offside pale
Trako la tipwa tipwaLaini kama trakoo
Na wamesahau mabegi airportNa hapo wana uchovu wa safari
Inaonekana zalani A wamewaheshimu tu Zalan B ila wakifunguka wale wnapata goalHahahaha ngoja kipindi cha pili watakuja na mbinu mbadala
Sifa zinawaharibu, atakuwwa chizi kama NDEMLA, kusifiwa ana mashuti akawa anabutua butua tu mpira.Feitoto awe anatoa na pasi kwa wenzake sio kila mpira abutue/ kupiga mashuti yasiyolenga lango
Ni wa kuwaonea huruma tuuYanga inasikitisha
Labda wafunge mabakuli yaoMbona naskia wamefunga?
Iko wazi kabisaaSifa zinawaharibu, atakuwwa chizi kama NDEMLA, kusifiwa ana mashuti akawa anabutua butua tu mpira.
Kina GERRARD huko walikuwa na nguvu za kupiga lakini wanapiga kwa nyakati.
Mechi zote wanamaliza hapa hapa LupasoUto Sudan atapata shida sana
🙌🏽mpeni pongezi kipa wa zalan
Kama la Kimwaga udugu jeupeeeeTrako la tipwa tipwa
Mbona ziko clear mzee au ww una miwaniNilijua wàamuzi ni Tatizo la Tanzania pekee kumbe ni Afrika nzima. Hizi offside mbili anajua mwamuzi mwenyewe.