Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan


Mzee ungejua uchumi wa US unavoendeshwa hata usingeandika haya.
 
Anga la Taiwan lipo chini ya US 3week before,mchina kaja kushtuka juzi tu [emoji1787]

Hio ndio maana inaitwa super power sio mchezo

Watu wapo makini na mambo yao
China kashitukizwa vibaya mno, ndo kwanza kaanza kimbiza ndege, mavyuma yake Fujian, watu washajipanga toka mwaka jana
 
Kwa lile Biti la China toka Ijumaa, na ukimya wa Biden nilijua hakika Nancy haendi.
Hadi jana usiku ndo niliamini Nancy anaenda.

Ila US mbabe sana, na inaonesha ashampima uwezo China kajua hawezi kitu
Mrusi kashatafutiwa furushi lake Ukraine anateseka nalo.

Mchina nae anatafutiwa la kwake ateseke nalo asiwe na muda wa kujijenga

Vita vya siku hizi unapigwa kinyume nyume πŸ˜‚


Marekani anataka hawa jamaa wawili china na Russia wakose muda wa kujijenga kiuchumi wawe bize kupambana na vinchi vidogo alafu yeye anaingia kwa nyuma kuvisupport kiteknologia na kijeshi,mpk waje kushtuka washakua nchi za kawaida wamefulia πŸ˜†πŸ˜†

Tunaposimuliwa na mababu zetu waliotangulia maana ya super power ndio hii sasa leo tunashuhudia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Huezi kua superpower ukakaa kizembe,unaacha nchi zinajijenga mpk zikutishie wewe mkubwa, lazima utafute namna kuzidhoofisha.haya mambo yamepangwa na kuratibiwa vikali

Marekani anaendesha operation kibao duniani,jana kiongozi wa alqaeda wamemtumgua huko 🀣🀣🀣🀣,haya leo anahangaika na mchina tena huko Taiwani 🀣🀣🀣,mambo hayapoi

Sisi tuendelee kulima sana 🀣 πŸ˜† Philosophy ya hapa kazi tu,tungeteseka ila baadae tungekua na sisi ni ka super power EastAfrica πŸ˜‚πŸ€£

Watu walihenya wakajipanga kitambo πŸ’₯
 
Safi sana Hayo ni Malipo ya kukataa kumpa Russia support waziwazi.
China Anatabia ya kinafiki sana. Inabidi Taiwan watangaze kabisa kuwa taifa huru
Yawezekana inatangazwa kesho
 
Siku marekani akimpiga kiduku tuu nitaamini usurper power wake
Huyu Kiduku hawezwi pigwa kirahisi sababu vita yake haiinufaishi US kwa chochote, ili Congress waidhinishe bajeti ya kupeleka jeshi vitani lazma ielezwe deep down US inanufaikaje.

Hawawezi kutumia fedha za walipa kodi hovyo kama huku kwetu, lazima iwepo justifiable reason.
 
Uko sahihi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…