Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Huyo bibi angeshambuliwa kisiri ..ma sniper waliotayari kufa ..wamlenge shaba ya tako na mbususu na kichwa akufe kisirisiri bila madege ya kivita

Speaking as pro chawa
Hizi akili za kijinga sana, ulifikiri US hawajui aina ya ulinzi unaohitajika akiwa huko? Uwe unatumia akili hata kidogo.
 
Biti alipiga la nini? Angeakaa kimya ama kuruhusu Pelosi kutua kwa masharti fulani angejijengea heshima. Mengine haya ni aibu tu.
Huyo bibi yako hawezi leta vita watu wakafa kwa ajili ya mtu ambae possibility ya kuishi miaka 5 hana kwa 30%

Busara ..najua wapumbavu wengi wanataka china ifanye jambo ..niko upande wa china pia sioni umuhimu wa vita ..kujishusha maisha yakaendelea sio mbaya ..ila huyo US mwambie akamege ardhi china ndo utajua
 
Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Yeah ni ujasiri mkubwa sana na keshaingia kwenye vitabu vya historia kama bwana Achiduke wa Austria-Hungury alipouwawa na mjerumani kutoa three altimatum.
 
Biti alipiga la nini? Angeakaa kimya ama kuruhusu Pelosi kutua kwa masharti fulani angejijengea heshima. Mengine haya ni aibu tu.
Wewe mchina wa kariakoo ndo unaona ni aibu ..ila wachina wenyewe wanaona ni Jambo jema
 
Hata mimi ndilo swali nalojiuliza, kama hayana kazi kwanini wayatengeneze? Ni danganya toto kabisa.
US mchokonozi sana ila tunakoelekea ipo siku watatukaanga kwa vita ya nuclear
Yaani wameyatengeneza kwa woga wa mataifa mengine
Yaani kila mmoja alikuwa anamuogopa mwenzake ndio maana USA aliamua kulitumia moja kuonyesha kuwa ana silaha mbaya kuliko zote

Asilokuwa anajua ni kuwa na wenzake wanatengeneza ya kwao na akili zao

Sasa hawawezi kupigana kwani kila mmoja anayo
Sasa USA anazo 3,750 wakati Mrusi hesabu zake 5,977 halafu bado ana biological weapons na hizo ndio anatengeneza kama sisi tunavyokaanga karanga

Hawatathubutu hata siku moja kupigana wanaogopana na ndio utakuwa mwisho wa dunia

Kwa jinsi walivyo na plan za kuishi vizazi na vizazi ndio kabisa

They love life
 
Sisi hatuwezi kuzuia wasipigane, na nimesema hivyo kwa sababu dunia imekuwa ya tension huyu anamtisha huyu, huyu anamtisha yule na at some point lazima watadundana ili power balance iwepo.

Yani hii haina tofauti na vita ya 2 ya dunia. Japan alishindwa akawa mpole mpaka leo akajua nafasi yake.

Mimi hii vita siiombei maana ikianza nitapigka balaa kutokana na nature ya kitu nachofanya
Mzee unataka tufe njaa?
Hizi vita zitaturudisha wengine nyuma mazima.
 
Hivi kweli tuseme tu ukweli nchi yenye budget ya US dollar 700 billion kwa mwaka unaichukulia poa sana kijeshi. Ukitaka kujua kua jamaa ni wababe na Dunia Iko mikononi mwao angalia wote humu tunatumia kwenye jukwaa tunatumia jamii forum kwa sababu Kuna google. Ni watu tu tunauwelewa mdogo kuhusu US

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hizi akili za kijinga sana, ulifikiri US hawajui aina ya ulinzi unaohitajika akiwa huko? Uwe unatumia akili hata kidogo.
Kwa hio kuna anti sniper 😁😁 we akili hauna kabisa ..unataka sema USA wamechukua vyumba hotel zote za karbu?😁 Acha kuwasifu hao hakuna kinachoshindikana
 
Keshatua na mchina kaufyata.

USA ni super power jama, sijui wanomzodoa wana maana gani. USA kwenye ishu inayowagusa moja kwa moja huonesha ubabe wake.

China tatizo lao janja janja nyingi sana, ni super power wa uswahilini.

Ukiskia akina Mandonga basi ni hao wachina.

Mchina alimwambia USA kadandia mtumbwi wa vibwengo ona sasa hivi kaufyata.
Super power wa mchongo 😂.
 
Back
Top Bottom