Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

China imesema kuanzia alhamis itafanya mazoezi ya kijeshi katika maeneo sita kuzungumza kisiwa Cha Taiwan

[emoji4][emoji116]
The #PLA will conduct military exercises and training activities including live-fire drills in six regions surrounding the island of #Taiwan from Thursday to Sunday according to Chinese media.

Harassment season is about to start......

#Taiwanchina

My take:
hata Russia nao walianza hivi hivi kimasiharaView attachment 2312203

Sent using Jamii Forums mobile app
machina yatakata mauno kama tiara sana tu lakini hamna kitu yatafanya
 
CIA walishapanga hii safari muda mrefu, hivyo lazima kila kitu walishafikiria
Ngoja nianze online totorial niunde missiles zangu hata hapa kiongozi akiongea uchwara natuma salamu aache au asitishe alichosema la sivyo nitatungua nyumba yake na waniogope mtu nisiejulikana mana naweza tungua kweli
 
Unaleta mambo ya statistics mbele ya super power?[emoji1787][emoji1787]

Ina maana wewe unajua kuliko china waliojikalia kimya mpk sasa?

basi nenda ukawasaidie wachina huko [emoji1787][emoji1787],toka hapa jf uje utupe mrejesho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ndo wewe bobby barbosa shoga wa pale sinza palestina?? Kama sio wewe badilisha ID hiyo asee. Maana uyo jamaa ni maarufu sana pale sinza. Kama unafikir mimi nakuzingua nenda kaulizie utarudi kunishukuru, ila kama ni wewe hoyahoya[emoji23][emoji23]
Kumbe hili ni li shoga la sinza
 
Kuna watu kula kulala bure hawayajui hayo. Kazi yao kushabikia vita vitokee. Kwa vile anakula bure hawazi athari za vita.
Kuna watu kula kulala bure hawayajui hayo. Kazi yao kushabikia vita vitokee. Kwa vile anakula bure hawazi athari za vita.
Hii vita ikitokea sisi ni washirika wa moja kwa moja maana tunaagaiza vitu vingi sana vyenye id made in China. Tank za Vyoo tu watu watapangisha nyumba self zenye vyoo vya shimo ndani.
 
Huyo bibi yako hawezi leta vita watu wakafa kwa ajili ya mtu ambae possibility ya kuishi miaka 5 hana kwa 30%

Busara ..najua wapumbavu wengi wanataka china ifanye jambo ..niko upande wa china pia sioni umuhimu wa vita ..kujishusha maisha yakaendelea sio mbaya ..ila huyo US mwambie akamege ardhi china ndo utajua
majeshi ya china yanakata mauno kama tiara na machuma yao chakavu yamemsindikiza Nancy mpaka Taiwan na maneno yao yote yale bora wangekaa kimya tu wangeonekana wa maana wamekuwa wapole mbele ya jike Nancy je andeenda Biden
 
China waliiambia Marekani eti usichezee moto. Miaka ya tisini na 2k wachhina walikuwa wanajikomba sana ili kwanza kupewa MFN status kuruhusu bidhaa za china kuingia Marekani, halafu kupatiwa kiti kwenye WTO. Baada ya kupata wamekuwa na kiburi hata cha kuiambia Marekani kwamba "don't play with fire." Sasa ngoja tuone hiyo fire yenyewe kama ni ya gesi au ni ya kuni mbichi..
 
China imesema kuanzia alhamis itafanya mazoezi ya kijeshi katika maeneo sita kuzungumza kisiwa Cha Taiwan

[emoji4][emoji116]
The #PLA will conduct military exercises and training activities including live-fire drills in six regions surrounding the island of #Taiwan from Thursday to Sunday according to Chinese media.

Harassment season is about to start......

#Taiwanchina

My take:
hata Russia nao walianza hivi hivi kimasiharaView attachment 2312203

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani walishatoa tahadhari mapema tangu juzi kwamba PLA watafanya provocation kama za kurusha Makombora,ndege,nk. Inaonekana intelligence ya USA iko makini sana
 
Back
Top Bottom