Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Acha tu. Teknolojia je? Tutaweza kulipia ya mmarekani na UK? Vipuli tutaweza nunua OG from Japan? Hapo ndipo TOYOTA nazo utasikia hizi gari hazinaga spare.
🤣😂🤣😂Sisi tunateseka na vipuri na bei za mafuta huku
 
China imesema kuanzia alhamis itafanya mazoezi ya kijeshi katika maeneo sita kuzungumza kisiwa Cha Taiwan

[emoji4][emoji116]
The #PLA will conduct military exercises and training activities including live-fire drills in six regions surrounding the island of #Taiwan from Thursday to Sunday according to Chinese media.

Harassment season is about to start......

#Taiwanchina

My take:
hata Russia nao walianza hivi hivi kimasiharaView attachment 2312203

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamuamini?
 
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Mkuu Acha kupangia watu mambo ya kufanya, wewe unayefatilia mambo ya nchi Nini kimekuleta kwenye huu Uzi, by the way unajua maana ya hobby? ,Kila mtu ashinde mechi zake
 
nyie hangaikeni weee... USA kakaa pale anawachora... wakat nyie mnajua A yeye anajua BCD mpaka Z
 
Huyo bibi angeshambuliwa kisiri ..ma sniper waliotayari kufa ..wamlenge shaba ya tako na mbususu na kichwa akufe kisirisiri bila madege ya kivita

Speaking as pro chawa
CIA walishapanga hii safari muda mrefu, hivyo lazima kila kitu walishafikiria
 
Unaleta mambo ya statistics mbele ya super power?[emoji1787][emoji1787]

Ina maana wewe unajua kuliko china waliojikalia kimya mpk sasa?

basi nenda ukawasaidie wachina huko [emoji1787][emoji1787],toka hapa jf uje utupe mrejesho

Tulikua tunaongelea Russia-Ukraine naona umerudi tena China Kenge wewe
 
Hapa ni sehemu ya kupiga Stori Tu ndugu ndiyo maana watu wanabishana Kwa hoja Tu....
Acha kuwa na moyo wa mdogo kiasi hiki kuna haja gani ya matusi? Kwa style hii utaweza kuhandle familia?
Hapo umeona kuna tusi ?

Stori za kipuuzi?
Yani majinga yana sapoti vita,, by the way hata mfumuko wa bei uwe vp naweza kulea wewe na familia yako
 
Back
Top Bottom