Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Mkuu me sio pro US, ila ukweli ni kuwa hawa jamaa wametuacha mbali sana.

Mtu ambaye ana mikono kwenye kila system ya hii dunia na bado hatetereki si wa kumchukulia poa. Ukiongelea UN na agencies zake zote, IMF, World bank, maswala ya world security nk kote huko unamzungumzia US.

Mzee ungejua uchumi wa US unavoendeshwa hata usingeandika haya.
 
CHINA=NATO [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja tuone,
Katangaza kuanza mazoezi usiku wa leo.

Tunaombea yasije kua ka.a Yale mazoezi ya NATO kule Ukraine, huwa hayaishi[emoji16]
Screenshot_20220802-184114.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anga la Taiwan lipo chini ya US 3week before,mchina kaja kushtuka juzi tu [emoji1787]

Hio ndio maana inaitwa super power sio mchezo

Watu wapo makini na mambo yao
China kashitukizwa vibaya mno, ndo kwanza kaanza kimbiza ndege, mavyuma yake Fujian, watu washajipanga toka mwaka jana
 
Kwa lile Biti la China toka Ijumaa, na ukimya wa Biden nilijua hakika Nancy haendi.
Hadi jana usiku ndo niliamini Nancy anaenda.

Ila US mbabe sana, na inaonesha ashampima uwezo China kajua hawezi kitu
Mrusi kashatafutiwa furushi lake Ukraine anateseka nalo.

Mchina nae anatafutiwa la kwake ateseke nalo asiwe na muda wa kujijenga

Vita vya siku hizi unapigwa kinyume nyume 😂

Marekani anataka hawa jamaa wawili china na Russia wakose muda wa kujijenga kiuchumi wawe bize kupambana na vinchi vidogo alafu yeye anaingia kwa nyuma kuvisupport kiteknologia na kijeshi,mpk waje kushtuka washakua nchi za kawaida wamefulia 😆😆

Tunaposimuliwa na mababu zetu waliotangulia maana ya super power ndio hii sasa leo tunashuhudia 😆😆😆😆

Huezi kua superpower ukakaa kizembe,unaacha nchi zinajijenga mpk zikutishie wewe mkubwa, lazima utafute namna kuzidhoofisha.haya mambo yamepangwa na kuratibiwa vikali

Marekani anaendesha operation kibao duniani,jana kiongozi wa alqaeda wamemtumgua huko 🤣🤣🤣🤣,haya leo anahangaika na mchina tena huko Taiwani 🤣🤣🤣,mambo hayapoi

Sisi tuendelee kulima sana 🤣 😆 Philosophy ya hapa kazi tu,tungeteseka ila baadae tungekua na sisi ni ka super power EastAfrica 😂🤣

Watu walihenya wakajipanga kitambo 💥
 
Siku marekani akimpiga kiduku tuu nitaamini usurper power wake
Huyu Kiduku hawezwi pigwa kirahisi sababu vita yake haiinufaishi US kwa chochote, ili Congress waidhinishe bajeti ya kupeleka jeshi vitani lazma ielezwe deep down US inanufaikaje.

Hawawezi kutumia fedha za walipa kodi hovyo kama huku kwetu, lazima iwepo justifiable reason.
 
Mrusi kashatafutiwa furushi lake Ukraine anateseka nalo.

Mchina nae anatafutiwa la kwake ateseke nalo asiwe na muda wa kujijenga

Vita vya siku hizi unapigwa kinyume nyume 😂

Marekani anataka hawa jamaa wawili china na Russia wakose muda wa kujijenga kiuchumi wawe bize kupambana na vinchi vidogo alafu yeye anaingia kwa nyuma kuvisupport kiteknologia na kijeshi,mpk waje kushtuka washakua nchi za kawaida wamefulia 😆😆

Tunaposimuliwa na mababu zetu waliotangulia maana ya super power ndio hii sasa leo tunashuhudia 😆😆😆😆

Huezi kua superpower ukakaa kizembe,marekani anaendesha operation kibao duniani,jana kiongozi wa alqaeda wamemtumgua huko 🤣🤣🤣🤣

Sisi tuendelee kulima sana 🤣 😆 Philosophy ya hapa kazi tu,tungeteseka ila baadae tungekua na sisi ni ka super power EastAfrica 😂🤣

Watu walihenya wakajipanga kitambo 💥
Uko sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom