Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Hizi akili za kijinga sana, ulifikiri US hawajui aina ya ulinzi unaohitajika akiwa huko? Uwe unatumia akili hata kidogo.Huyo bibi angeshambuliwa kisiri ..ma sniper waliotayari kufa ..wamlenge shaba ya tako na mbususu na kichwa akufe kisirisiri bila madege ya kivita
Speaking as pro chawa
Matusi huwa hayasaidiiSawa bibie ..bila shaka wewe ni antie wa pelos
Basi ndio wataendelea kupapaswa makalio Kila kukicha [emoji1787]China hawezi ingia vita anawaza uchumi
Huyo bibi yako hawezi leta vita watu wakafa kwa ajili ya mtu ambae possibility ya kuishi miaka 5 hana kwa 30%
Busara ..najua wapumbavu wengi wanataka china ifanye jambo ..niko upande wa china pia sioni umuhimu wa vita ..kujishusha maisha yakaendelea sio mbaya ..ila huyo US mwambie akamege ardhi china ndo utajua
Yeah ni ujasiri mkubwa sana na keshaingia kwenye vitabu vya historia kama bwana Achiduke wa Austria-Hungury alipouwawa na mjerumani kutoa three altimatum.Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Hawa jamaa fala sana ni saivi nawaona wa kwa Mpalange, tulizani China itakua kama Russia kuleta balance kumbe hamna kitu, matako yao macho kuvimba.Onyo la Nini Sasa wafanye action, yaani mtu mliyekuwa hamtaki aingie Taiwan ameshaingia then still wanatoa onyo
Acha uduanzi,cha kufatilia bongo nini?Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
Story za vijiweni hizo [emoji13][emoji13]
Mkubwa mpishe njia apite
Wewe mchina wa kariakoo ndo unaona ni aibu ..ila wachina wenyewe wanaona ni Jambo jemaBiti alipiga la nini? Angeakaa kimya ama kuruhusu Pelosi kutua kwa masharti fulani angejijengea heshima. Mengine haya ni aibu tu.
Yaani wameyatengeneza kwa woga wa mataifa mengineHata mimi ndilo swali nalojiuliza, kama hayana kazi kwanini wayatengeneze? Ni danganya toto kabisa.
US mchokonozi sana ila tunakoelekea ipo siku watatukaanga kwa vita ya nuclear
Na wewe rubbish unataka watu wapigane upate nini haswa ..hujui madhara ya vita weweMatusi huwa hayasaidii
ππππMwanaume ni Russia, Iran, NK. China nishamtoa kwenye list. Huu ufedhuli hata Kenya asingekubali asee.
Saana wameingia migharama kibao ya kupeleka vifaa vita lakini hakuna kitu
Mzee unataka tufe njaa?Sisi hatuwezi kuzuia wasipigane, na nimesema hivyo kwa sababu dunia imekuwa ya tension huyu anamtisha huyu, huyu anamtisha yule na at some point lazima watadundana ili power balance iwepo.
Yani hii haina tofauti na vita ya 2 ya dunia. Japan alishindwa akawa mpole mpaka leo akajua nafasi yake.
Mimi hii vita siiombei maana ikianza nitapigka balaa kutokana na nature ya kitu nachofanya
Kwa hio kuna anti sniper ππ we akili hauna kabisa ..unataka sema USA wamechukua vyumba hotel zote za karbu?π Acha kuwasifu hao hakuna kinachoshindikanaHizi akili za kijinga sana, ulifikiri US hawajui aina ya ulinzi unaohitajika akiwa huko? Uwe unatumia akili hata kidogo.
Super power wa mchongo π.Keshatua na mchina kaufyata.
USA ni super power jama, sijui wanomzodoa wana maana gani. USA kwenye ishu inayowagusa moja kwa moja huonesha ubabe wake.
China tatizo lao janja janja nyingi sana, ni super power wa uswahilini.
Ukiskia akina Mandonga basi ni hao wachina.
Mchina alimwambia USA kadandia mtumbwi wa vibwengo ona sasa hivi kaufyata.