Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Watarudi drawing board kujiuliza kwanini wamedharaurika kiasi hiki.

Dunia ilitegemea amgomee US ila kashindwa, angeweza lazima vimbwa koko vingefuata tu.

Labda hakuwa na planning
 
Mmarekani anataka aijue nguvu halisi ya mchina,kama alivyo mgundua mrusi kua hana lolote,na lengo ni kuwadhoofisha kiuchumi ili yeye aendelee kua super power [emoji95]

Haya mambo ni planned and organized kitambo [emoji95][emoji95][emoji95]
Kama hana lolote aingie ukraiane, aache kufanya mazoezi na Nato wenzie miezi 10 mfululizo. Aingie vitani ukraiane, hapo ndipo tutamuona kweli ni super power
 
Watarudi drawing board kujiuliza kwanini wamedharaurika kiasi hiki.

Dunia ilitegemea amgomee US ila kashindwa, angeweza lazima vimbwa koko vingefuata tu.

Labda hakuwa na planning
Kwetu tulifundishwa kuwa debe tupu haliacha kutika. Tabia kama hii ya kutishia tishia na kupiga makelele mengi ndiyo aliyo nayo Putin pia. Mara utamsikia tutatumia silaha za Nyuklia, mara tutumia mabomu ya hypersonic , maadui wetu wa Magharibi inabidi wafikirie mara mbili kabla ya kuingia mgogoro wa Ukraine kumbe ni kelele tu: HIMARS zimepelekwa Ukraine na kazi inajulikana. Sasa china naye amekuwa na kelele nyingi za vitisho vitisho vitisho hasa miaka ya hivi karibuni.
 
Rais wa China🇨🇳 ana akili na busara sana

Hizo akili zilikua wapi wakati wanapiga mikwara mbuzi kama sio kujidhalilisha ?! Kama ana akili mbwembwe za kutuma vifaa vya vita eti kujihami na ujio wa Nancy zilikua za nini ?!

Yani akili zake kwanini hakuzitumia muda ule na kujifanya kutia mbwembwe za kitoto na makombora yake fake yaliyojazwa baruti ?!
 
Uliambiwa Putin alikataza watu yeye alikuwa anataka maeneo na kayapata awo viongozi waende kumfariji uyoo kinyago wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…