Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Wakati mwingine ujasiri unaweza kuwa ujinga. Kwa mfano China angeriakti tofauti hapo hiyo vita ingekuwa imesababishwa na Pelosi.
 
Kitu ambacho naona watu hawakizungumzii ni ujasiri wa Nancy Pelosi, yaani pamoja na kuwa marine na air defence systems ziko standby kwa attack, bibie kakwea pipa bila hofu!! Interesting...
Umri wa kufa umekaribia, hata wewe ukifikisha 80 hutoogopa tena kifo.. maana muda wowote utaitwa na mkuu aliye juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…