Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Urusi huo mziki kauvagaa, hiyo vita haiishi leo west mpaka wahikikishe rusia ameishiwa materials za kutengeneza siraha halafu wanatinga Kremlin kwenda kumnyakuwa huyo chizi.

Vita bado vipo sn na Russia kashajazwa

Kati ya mitego ambayo China aliwekewa na kaikwepa huu ndio ulikuwa mkubwa, mungu wake kamsaidia Leo maana China ingekuwa kama Vietnam

Usicheze na Moto wa usa.
Wachina wa kwa mtogole wanakwambia USA ilishindwa Vietnam.
 
China imesema kuanzia alhamis itafanya mazoezi ya kijeshi katika maeneo sita kuzungumza kisiwa Cha Taiwan

[emoji4][emoji116]
The #PLA will conduct military exercises and training activities including live-fire drills in six regions surrounding the island of #Taiwan from Thursday to Sunday according to Chinese media.

Harassment season is about to start......

#Taiwanchina

My take:
hata Russia nao walianza hivi hivi kimasiharaView attachment 2312203

Sent using Jamii

Haha ba J huu ni mfupa kwako wewe pambana na mama J wako usikofurukuta😆😆😆
 
Maana walipeleka anti aircrafts,
walipeleka APCs,
walipeleka Hypersonic Missile launchers, walipeleka amphibius tanks
Walipeleka meli vita
Walifanya live drills

Fujian ikajazwa silaha

Mwisho wameishia peleka ndege zao ADIZ tu bila kurusha hata risasi
Sasa siungese huo
 
Mchina amekua hana tofauti na NATO,wkt Russia inaivamia Ukraine jamaa wa NATO walikua wanafanya mazoezi,mpk leo Russia anampiga Ukraine bado tu NATO wanafanya mazoezi.
Unafikiri huu mfano ulioleta ndio utawaondolea aibu na maumivu nyie pro China?
 
Ale alipopeleka mboga
jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?

- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu
 
Uchina imefungisha,haina mpango wala nini! 😇
Nalog off  Z
 
Back
Top Bottom