Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Wewe unawajua vizuri sana: ni waoga, wanafiki, wapenda kujikweza, na vile vile wapenda kujipendekeza.Usimfananishe Russia na China mzee. China waoga aseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unawajua vizuri sana: ni waoga, wanafiki, wapenda kujikweza, na vile vile wapenda kujipendekeza.Usimfananishe Russia na China mzee. China waoga aseee
ndio ujue USA Ni dude lililoshindikana, William J. Burns alisema china wakileta fyoko watakutana na mkono wa chumaDuh, leo ndio nimethibitisha kumbe Wachina hawatengenezi bidhaa feki tu, bali hata maneno yao ni feki pia.
Yani Pelosi katua Taiwani kama anavyotuaga pale Newyork tu.
Hayo ya kufadhiliwa wote tulisikia sio kuwa wewe ndio unaotea hivyohivi wewe unaongea mambo gani.
1. Either virusi vilitoka kwa wanyama hapo china
2. Au vilitoka maadata hapo china.
Kama vilitoka maabara, basi ni maabara iliyokuwa ikifadhiliwa na USA.
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?
- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu
China akiufyata atajishushia Sana heshima,
Ukzingatia tangu juz anasafirisha convoy za kutosha za kivita pwani inayotizamana na taiwan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishapita hiyoHawa washenzi, wanafanya leo tufharaulike kabisa, ila nini yenu iko njiani, this won't go unpunished, trust me
Huyu jamaa huwa chenga sana.Leo ndio umegundua hilo?bado swahiba wako Bwana Utam
Kwani amesema anatakaaingie Ukraine apigane.Kama hana lolote aingie ukraiane, aache kufanya mazoezi na Nato wenzie miezi 10 mfululizo. Aingie vitani ukraiane, hapo ndipo tutamuona kweli ni super power
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.
China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.
Vilevile kwa namna hiyo imeonesha ni namna gani marekani hawako sawa ndani. Hii ni dawa ya kutuliza maumivu kwa muda mchache na siyo dawa ya kutibu tatizo walilonalo ndani huko wamarekani.
Tatizo kubwa lililopo ndani ya marekani na Nacy Pelosi ni kwamba imepitishwa Policy inayoyataka makampuni ya Semiconductors ya marekani kufanya kazi locally. Hapo Intel anapata benefit kubwa.
Upande wa mme wake Nacy Pelosi anaangukia pua na kampuni yake ya NVIDIA ambayo ipo Taiwan. You get the point now. Na unaunganisha dots.
Inasemekana mme wake anauza/ameuza hisa za NVIDIA kwa hasara. Pelosi hana cha kupoteza ni mtu ambaye hana matumaini. Yaani tukose wote style. Anavuruga uhusiano kati ya China na USA kwamba China ndio suppliers wa Rare Earth Metal ambazo ndizo zinatengeneza Semiconductors Huku USA and Taiwan ndio watengenezaji wakubwa wa Semiconductors.
Matokeo yake ni yapi sasa. Mgogoro ukiwepo kati ya USA na China, Semiconductors ndani ya USA zitakuwa expensive makampuni ya USA yaliyopo nje yatapata benefit kutokana na cheap Rare Earth Metal zinazotoka China. Huku kampuni yake ya NVIDIA ikiweka ushindani kwenye makampuni ya INTEL nk.
Hii issue is not direct as you think.
Kwa ziara ya Pelosi anayefaidika ni mchina. Na huenda aliye organize safari hii ni mchina.
NGOJA TUONE.....
Huyo Mrusi si aliuza Alaska kwa Marekani,kama yeye kidume akachukue kale kajimbo aone motoChina auze hicho kisiwa kwa Mrusi aone Mrusi anavyo kigeuza bhucha part 2
Hata kusogelea haweziHuyo Mrusi si aliuza Alaska kwa Marekani,kama yeye kidume akachukue kale kajimbo aone moto
Bwana Utam Jana alikuwa anasema Nancy haendi popote, matokeo yake kalala na kobazi hajaamka Hadi muda huu.Leo ndio umegundua hilo?bado swahiba wako Bwana Utam
mkuu sisi warusi wa uku misugusugu atutokuelewa china kafanya pro nato uku wanatamba wengine tulikuwa atuwafahamu ni pro nato ila kwa aibu aliyotuletea china zimekuja ID mpya kibao wanashereeekea ukienda kwenye blogs za ulaya ndio kabisa wachina wanadhalilishwa uko twitter uko wanatamba western tuHapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.