Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

hivi wewe unaongea mambo gani.
1. Either virusi vilitoka kwa wanyama hapo china
2. Au vilitoka maadata hapo china.

Kama vilitoka maabara, basi ni maabara iliyokuwa ikifadhiliwa na USA.
Hayo ya kufadhiliwa wote tulisikia sio kuwa wewe ndio unaotea hivyo
Dunia nzima ilisikia kila aina ya maneno na Trump alipiga kelele sana kuhusu China na Covid 19

Vita vya biological weapons ni mbaya zaidi kuliko mabomu
 
wewe hauna utofauti na Mandonga,hujui effects za Geopolitics zinaweza kukuaffect na wew unaishi huko Goba
Unashindwa kufuatilia mambo ya nchi yako unakwenda kufuatilia safari ya Pelosi? Afu utafaidika nini? Hivi Wa-Tz mmelogwa na nani? Huu nao ni uzi wa kupandisha humu?
 
Huyu ndo Mrusi wa Goba huko wabishi kama nn
jamaa mmoja kabla ya urusi kuvamia ukraie nlimuuliza unajua madhara ya vita? akafoka kweli waache kumchukulia putin kiboya, nkamuuliza tena unajua madhara ya vita lakini? wakipigana kule umejipanga?

- ni kama aliniona sina akili maaana alidhan hayawezi kumfikia, saaahv naona amepaki tu gari yake inaenda route za muhimu tu
 
War has alots of consequences, But at some point lazima wababe wawe wachache ili dunia itawalike na iwe a safe place to stay, World war ya tatu ndo the only thing itakayo equaliser mambo, Kuwa na wababe wengi is not healthy for world existence.
 
China inabidi itafute sababu nyingine kuipiga Taiwan ila si kwa sababu Pelosi katembelea Taipei, Uwanja wa Vita uliochaguliwa ni Ukraine, wamsaidie mrusi huko Mwisho wa siku unamfata adui yako na kumpa kichapo
 
Kama hana lolote aingie ukraiane, aache kufanya mazoezi na Nato wenzie miezi 10 mfululizo. Aingie vitani ukraiane, hapo ndipo tutamuona kweli ni super power
Kwani amesema anatakaaingie Ukraine apigane.

Sasa huyo si alitoa maonyo kibao kwa ataemsaidia Ukraine atapata kipigo mbona hajafanya lolote mpka Sasa na misaada ya silaha kila siku Ukraine anasaidiwa ili tuamini rusia ni mbabe afanye kweli kama alivyosema.

Mbona usa akisema mm nitafanya nishaloamua anafanya na nyinyi mnaufyata?

Alisema atamsaidia msaada wa silaha Ukraine akamsaidia na anaendelea hadi leo.

Spika wake alisema ataenda Taiwan na nyinyi wachina mkasema mtaripua ndege yake mmeufyata sasa mnalojiamulia na kulifanya kwa usa ni lipi?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.

China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.

Vilevile kwa namna hiyo imeonesha ni namna gani marekani hawako sawa ndani. Hii ni dawa ya kutuliza maumivu kwa muda mchache na siyo dawa ya kutibu tatizo walilonalo ndani huko wamarekani.

Tatizo kubwa lililopo ndani ya marekani na Nacy Pelosi ni kwamba imepitishwa Policy inayoyataka makampuni ya Semiconductors ya marekani kufanya kazi locally. Hapo Intel anapata benefit kubwa.
Upande wa mme wake Nacy Pelosi anaangukia pua na kampuni yake ya NVIDIA ambayo ipo Taiwan. You get the point now. Na unaunganisha dots.

Inasemekana mme wake anauza/ameuza hisa za NVIDIA kwa hasara. Pelosi hana cha kupoteza ni mtu ambaye hana matumaini. Yaani tukose wote style. Anavuruga uhusiano kati ya China na USA kwamba China ndio suppliers wa Rare Earth Metal ambazo ndizo zinatengeneza Semiconductors Huku USA and Taiwan ndio watengenezaji wakubwa wa Semiconductors.

Matokeo yake ni yapi sasa. Mgogoro ukiwepo kati ya USA na China, Semiconductors ndani ya USA zitakuwa expensive makampuni ya USA yaliyopo nje yatapata benefit kutokana na cheap Rare Earth Metal zinazotoka China. Huku kampuni yake ya NVIDIA ikiweka ushindani kwenye makampuni ya INTEL nk.

Hii issue is not direct as you think.
Kwa ziara ya Pelosi anayefaidika ni mchina. Na huenda aliye organize safari hii ni mchina.

NGOJA TUONE.....
 
[emoji1376][emoji1376][emoji1376]Tell em these US citizens from matumbi Bongo land.

mkuu sisi warusi wa uku misugusugu atutokuelewa china kafanya pro nato uku wanatamba wengine tulikuwa atuwafahamu ni pro nato ila kwa aibu aliyotuletea china zimekuja ID mpya kibao wanashereeekea ukienda kwenye blogs za ulaya ndio kabisa wachina wanadhalilishwa uko twitter uko wanatamba western tu
 
Back
Top Bottom