Wewe.. TAKUKURU hawahitaji risiti kusibitisha wizi.Leta risit ya mauzo. Hiyo ndo journalism ambayo samia alikuwa anakemea leo. Watanzani mmekuwa fake journalists. Nani kakwambia samia aliuza bandari? Leta risit au agreement za mauzo.
Ushahidi si huo kauleta! Mbona bashe hajajitokeza kusema ni uongo sa hv mnaunda zengwe tu badala ya kujadili uhalisia wa wasilisho lakeShutuma zile hazikuwa na chembe ya wasiwasi. Za mpina ni wivu tu hazina hata ushahidi wowote
Lini hiyo mkuu?Naona jamaa kashaitwa kwenye kamati ya maadili
Si aliambiwa akathibitishe kwenye kamati ya maadili yeye akajiona mjanja kuja public. Ndo ujue akili yake kisodaUshahidi si huo kauleta! Mbona bashe hajajitokeza kusema ni uongo sa hv mnaunda zengwe tu badala ya kujadili uhalisia wa wasilisho lake
Wanahitaji niniWewe.. TAKUKURU hawahitaji risiti kusibitisha wizi.
LeoLini hiyo mkuu?
Ice,Ametakiwa kujiuzuru na nani mpaka yeye akawa na ujasiri wa kugoma?
Luhaga akili kubwa!! Alijua huko litafichwa ikabidi ajitoe mhanga liwafikie watanzania then kitakachoendelea kitajulikana mbele kwa mbele. Mmezoea sana kuficha maovuSi aliambiwa akathibitishe kwenye kamati ya maadili yeye akajiona mjanja kuja public. Ndo ujue akili yake kisoda
Sasa kama.kaamua kufanya fujo unataka serikali imvumile?Mhaga akili kubwa!! Alijua huko litafichwa ikabidi ajitoe mhanga liwafikie watanzania then kitakachoendelea kitajulikana mbele kwa mbele. Mmezoea sana kuficha maovu
Ushahidi wa kimazingira tu unatosha kukutia hatiani. Nani alikuambia mauzo ya wizi yanahtaji risiti??Wanahitaji nini
Fujo au ni kufahamisha umma maozo yaliyopo ambayo hufumbiwa macho! Na kwa hili yule kima ameshachafuliwa siyo tena saruji ni tope tu.Sasa kama.kaamua kufanya fujo unataka serikali imvumile?
Nani kakwambia ushahidi wa mazingira unatosha. Umeshaenda kujadiliana na takukuru wakakwambi hivyo? Au we ni takukuru unajua utendaji kazi wa taasis hiyo. Au unataka mawazo yako ndo iwe base ya decision.Ushahidi wa kimazingira tu unatosha kukutia hatiani. Nani alikuambia mauzo ya wizi yanahtaji risiti??
Hairuhusiwi sasa. Katiba hairuhusu kitu kama hicho. kila sehemi kuna utaratibu. Hata nyumbani kwako kuna utaratibu. Huwezi mruhusu mtoto wako amtie mimba mke wako ambaye ni mama yakeFujo au ni kufahamisha umma maozo yaliyopo ambayo hufumbiwa macho! Na kwa hili yule kima ameshachafuliwa siyo tena saruji ni tope tu.
Yule NI mbunge mkuu kuna taaratibu za kibunge hufanywa hadi anakuja kwenda mahakamaniSamia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Nimeshatembelewa na takukuru na kutuhumiwa kwa ushahidi wa mazingira ulionesha kila harufu ya wizi. Mnunuzi bila risiti ni wizi, mauzo bila kupewa risiti ni wizi. Hayo yote ni mazingira ya kuonesha kuna wiziNani kakwambia ushahidi wa mazingira unatosha. Umeshaenda kujadiliana na takukuru wakakwambi hivyo? Au we ni takukuru unajua utendaji kazi wa taasis hiyo. Au unataka mawazo yako ndo iwe base ya decision.
Taratibu ndo kama.zile aliambiwa apeleke ushahidi kwenye kamati ila yeye akakosa akiki akapeleka kwenye publicYule NI mbunge mkuu kuna taaratibu za kibunge hufanywa hadi anakuja kwenda mahakamani
Ndo imeshawekwa wazi na mwamba kachafuliwa. Kazi kwenu kumfua sasa!! Hili la maslahi ya taifa haliendani kabisa na mfano wako wa kindezi.Hairuhusiwi sasa. Katiba hairuhusu kitu kama hicho. kila sehemi kuna utaratibu. Hata nyumbani kwako kuna utaratibu. Huwezi mruhusu mtoto wako amtie mimba mke wako ambaye ni mama yake
Sasa hivyo vyote hawajaviona ndo mana hamna case yoyote. Labda wewe ulianzishe na upeleke mahakamani na mwananchi huruNimeshatembelewa na takukuru na kutuhumiwa kwa ushahidi wa mazingira ulionesha kila harufu ya wizi. Mnunuzi bila risiti ni wizi, mauzo bila kupewa risiti ni wizi. Hayo yote ni mazingira ya kuonesha kuna wizi
Ushahidi kwa spika na si kamati acha kuchezesha midomo. Spika ndo anaupeleka kwa kamati. Alijua nchi imejaa wahuni ndo akaamua aweke waziTaratibu ndo kama.zile aliambiwa apeleke ushahidi kwenye kamati ila yeye akakosa akiki akapeleka kwenye public
Ndo sasa asubili adhabu mana kila umaarufu una gharama zakeNdo imeshawekwa wazi na mwamba kachafuliwa. Kazi kwenu kumfua sasa!! Hili la maslahi ya taifa haliendani kabisa na mfano wako wa kindezi.