FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

FULL TEXT: Maelezo ya Ushahidi wa Luhaga Mpina kwa Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson juu ya Waziri Hussein Bashe kusema Uongo Bungeni kuhusu Sukari

Leta risit ya mauzo. Hiyo ndo journalism ambayo samia alikuwa anakemea leo. Watanzani mmekuwa fake journalists. Nani kakwambia samia aliuza bandari? Leta risit au agreement za mauzo.
Wewe.. TAKUKURU hawahitaji risiti kusibitisha wizi.
 
Ushahidi si huo kauleta! Mbona bashe hajajitokeza kusema ni uongo sa hv mnaunda zengwe tu badala ya kujadili uhalisia wa wasilisho lake
Si aliambiwa akathibitishe kwenye kamati ya maadili yeye akajiona mjanja kuja public. Ndo ujue akili yake kisoda
 
Ametakiwa kujiuzuru na nani mpaka yeye akawa na ujasiri wa kugoma?
Ice,

Hahaha najaribu kufikiria hii Dessertation aliyoandaa mpina anaanzaje kupinga hoja moja badala ya nyingine na mbaya zaidi teknolojia inamuumbua.

Nimeshangaa kampuni ya kuuza simu kupewa kibali cha kuagiza sukari biashara ambayo hana hata utaalamu nayo, na mbaya zaidi METL anaenda kutoa mzigo.

Hii ishu ina mkono mrefu wa wafanyabiashara wakubwa.
 
Mhaga akili kubwa!! Alijua huko litafichwa ikabidi ajitoe mhanga liwafikie watanzania then kitakachoendelea kitajulikana mbele kwa mbele. Mmezoea sana kuficha maovu
Sasa kama.kaamua kufanya fujo unataka serikali imvumile?
 
Ushahidi wa kimazingira tu unatosha kukutia hatiani. Nani alikuambia mauzo ya wizi yanahtaji risiti??
Nani kakwambia ushahidi wa mazingira unatosha. Umeshaenda kujadiliana na takukuru wakakwambi hivyo? Au we ni takukuru unajua utendaji kazi wa taasis hiyo. Au unataka mawazo yako ndo iwe base ya decision.
 
Fujo au ni kufahamisha umma maozo yaliyopo ambayo hufumbiwa macho! Na kwa hili yule kima ameshachafuliwa siyo tena saruji ni tope tu.
Hairuhusiwi sasa. Katiba hairuhusu kitu kama hicho. kila sehemi kuna utaratibu. Hata nyumbani kwako kuna utaratibu. Huwezi mruhusu mtoto wako amtie mimba mke wako ambaye ni mama yake
 
Samia siyo jpm wa kukurupuka. Haendi na hearsays. Mahakama zipo kuverify siyo rais siyo kazi yake. Samia ana busara na hekima. Siyo kila shutuma ni ya kweli mengine ni uzushi tu. Kwa nini mpina hajaenda mahalamani, unajua kwa nini? Anaogopa mana hana ushahidi
Yule NI mbunge mkuu kuna taaratibu za kibunge hufanywa hadi anakuja kwenda mahakamani
 
Nani kakwambia ushahidi wa mazingira unatosha. Umeshaenda kujadiliana na takukuru wakakwambi hivyo? Au we ni takukuru unajua utendaji kazi wa taasis hiyo. Au unataka mawazo yako ndo iwe base ya decision.
Nimeshatembelewa na takukuru na kutuhumiwa kwa ushahidi wa mazingira ulionesha kila harufu ya wizi. Mnunuzi bila risiti ni wizi, mauzo bila kupewa risiti ni wizi. Hayo yote ni mazingira ya kuonesha kuna wizi
 
Hairuhusiwi sasa. Katiba hairuhusu kitu kama hicho. kila sehemi kuna utaratibu. Hata nyumbani kwako kuna utaratibu. Huwezi mruhusu mtoto wako amtie mimba mke wako ambaye ni mama yake
Ndo imeshawekwa wazi na mwamba kachafuliwa. Kazi kwenu kumfua sasa!! Hili la maslahi ya taifa haliendani kabisa na mfano wako wa kindezi.
 
Nimeshatembelewa na takukuru na kutuhumiwa kwa ushahidi wa mazingira ulionesha kila harufu ya wizi. Mnunuzi bila risiti ni wizi, mauzo bila kupewa risiti ni wizi. Hayo yote ni mazingira ya kuonesha kuna wizi
Sasa hivyo vyote hawajaviona ndo mana hamna case yoyote. Labda wewe ulianzishe na upeleke mahakamani na mwananchi huru
 
Taratibu ndo kama.zile aliambiwa apeleke ushahidi kwenye kamati ila yeye akakosa akiki akapeleka kwenye public
Ushahidi kwa spika na si kamati acha kuchezesha midomo. Spika ndo anaupeleka kwa kamati. Alijua nchi imejaa wahuni ndo akaamua aweke wazi
 
Back
Top Bottom