Baada ya Zitto na Deo kusoma taarifa ya kamati ya PAC Waziri mkuu Mizengo pinda hana kosa wala hajatajwa popote kuwa kaiba au katengeneza mazingira ya kuiba bado Pinda anabakia na heshima yake ya uadilifu
waliyo iba pesa ya umma wawajibike wote pia ambao kamati ya zitto haijawataja iwataja maana kuna walichota bilioni 73 kwa mifuko na mabegi ambao hawa kutajwa ni vizuri wangetajwa na wao