Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Mr.tezi dume kahusika na ndio maana mapendekezo yote ya tume hayatafanyiwa kazi.
 
hapa 2taixhia kuwajua wez 2 lakin uwezekano wakurudixha pexa ni mdogo xana na hapa bongo xheria haina meno kwa vigogo maana wanajuana hii nixawa na kesi ya ngedere halafu hakimu ni nyani unategemea ni nn kitatokea?
 
faizaFaxy gharama ya kuwabeba viongozi dhalimu gharama yake ni zaidi ya uhai wa chama na serikali

Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.
 
sasa mkuu mbona ukijumlisha hizo hela hazifikii kias kinachotajwa kuibiwa? au wale waliochukua nyingi zaid hawajatajwa
 
Tume ya warioba ililiona hili ndo maana ikaweka misimamo mikali mno ya kuwabana viongozi wa style hizi majambazi wanaotumia akili na kalamu ila ccm wamefuta vifungu hivyoo wacha tu waibee weee hukumu yao wataikuta mbinguni
 
Mkuu unachotakiwa kujua kama wakitaja hizo za stanbic nchi lazima isambaratike... huko ndo kulikua na mgao wa vigogo.

Heli vigogo wawajibike kwa dhana ya uwajibikaji kuliko kujiudhulu kwa kashfa ya rushwa... ukifukunyua huko ndiko utaikuta executive nzima... tiss,magogoni,mawaziri,mwanasheria,jwtz,pccb na taasisi nyinginezo kubwa.

Hawa akina tibaijuka wametolewa kafara ya mbuzi kwa kuhongwa na mahawala zao.
 
Breaking news
Askofu Mkuu wa Tanzania Baba mhashamu
Policapy Cardinal Pengo
Amemrejesha Askofu msaidizi wa jimbo la Kagera Methodius Kilaini Dar es salaam nakumsimamisha kujiusisha na maswala ya Kanisa kutokana na Kupokea million 80 kutoka katika Account ya Tegeta Escrow kwani nikinyume cha Kanisa Katoliki.
 
Kama hawataki kutaja hayo majina basi mimi najua afichaye dhambi hatafanikiwa kabisa!!!
Ninakumbuka wakati wa Ripoti ya Mwakyembe kuna mambo alificha yakamucost sasa hapa ni lazima majina haya yawekwe hadharani hakuna jinsi
 

Kwanini alikataa fedha hizi Si za umma.?
 
Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.

Faiza mwanangu ikiwa Takukuru na CAG wamewachomea hao, tutegemee nini tena ...?
 


Hii sio nchi ya majaribio ,hospital hazina dawa na mishahara imekuwa adimu kama maji kupatikana jangwani
 
182 billion Ndiyo zilikuwa escrow, ilitakiwa ziwe 306 billion, tanesco bado hawajalipa, kodi haizidi billion 30. Hata ikikatwa 30 b Bado Serikali G

Zitto amepiga porojo tu.

Wewe katafute basha wa kukuchokonoa huko nyuma mpumbavu kabisa wewe ng'ombe kabisa.
 
Hii ripoti ya Zitto imenikumbusha enzi zileeee za utoto hasa suala la kuoga asubuhi ndo uende shule. Nilikuwa nanawa uso, mikono na miguu yaani kupiga passpot.
Zitto umeamua kuyavulia maji nguo, oga!. Uoga wa nini sasa? Wewe taja hata kama mkulu alipata bahasha sema ili kuepuka kuwa Simon wa Kirene aliyemsaidia nabii Issa kubeba msalaba wake.
Labda kama umeyaweka majina hayo reserve kama kinyango cha kusuuzia mdomo wakati wa tonge la mwisho. Najua unayo.

Cc: Zitto Kabwe.
 
Mimi haingii akilini kuwa umetaja majina ya watu waliochukua 3.3bilions lakini hutaki kutaja majina ya watu waliochukua 73Bilions .Je hiyo kamati una uchungu na Taifa hili???Au kuna mpango wa urais hapo???
 
Ungenielewesha kuliko kuniattack..kama wewe umeelewa..basi nipe ufafanuzi..its just that simple. Hapa mie naona kuna yaliyojificha na sisi tunashabikia tusichokijua

ebwana in short ni kuwa AG ndiye mhusika wa masuala yote ya kisheria, iwe fedha, nk, sasa basi kodi nayo ni sheria mfano. vAT nayo ni sheria inaitwa VAT Act ya 2004, hivyo basi AG anatakiwa kuzitafsiri hizi sheria wakati inapotakiwa, kama vile wakati wa hili sakata aliombwa mwongozo kama kutakuwa na kodi yoyote ya kulipa lakini yeye alikataa, ni hivyo kwa kikifupi!
 
Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.

Bibi utakuwa ume virugwa sio bure. Inaonekana kubeba box kume kuharibu akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…