KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Mr.tezi dume kahusika na ndio maana mapendekezo yote ya tume hayatafanyiwa kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilaini ameingia kwenye kashfa sababu yeye ni Mwenyekiti wa bodi ya Mkombozi benki
182 billion Ndiyo zilikuwa escrow, ilitakiwa ziwe 306 billion, tanesco bado hawajalipa, kodi haizidi billion 30. Hata ikikatwa 30 b Bado Serikali G
Zitto amepiga porojo tu.
Kama hawataki kutaja hayo majina basi mimi najua afichaye dhambi hatafanikiwa kabisa!!!Mkuu unachotakiwa kujua kama wakitaja hizo za stanbic nchi lazima isambaratike... huko ndo kulikua na mgao wa vigogo.
Heli vigogo wawajibike kwa dhana ya uwajibikaji kuliko kujiudhulu kwa kashfa ya rushwa... ukifukunyua huko ndiko utaikuta executive nzima... tiss,magogoni,mawaziri,mwanasheria,jwtz,pccb na taasisi nyinginezo kubwa.
Hawa akina tibaijuka wametolewa kafara ya mbuzi kwa kuhongwa na mahawala zao.
We umeelewa vizuri au unafuata ngoma usiyoijua?
ngoja nikusaidie, Ni hivi dada, Muhongo kaingia Wizara ya Nishati na Madini kakuta kuna mivutano isiyoisha kati ya Tanesco na IPTL, na IPTL na VIP, kabla ya mzigo wa ESCROW kutoka watu walikuwa wanapiga hela kila siku Hapo Tanesco mara body, mara vikao, mara kesi, Na wakili Mkono ndio alikuwa anapigia Pesa hapo, Muhingo kama waziri akaamua asafishe uchafu Tanesco ikiwa ni pamoja na kuzimaliza kesi zote
Na hili kuzimaliza kesi zote ilibidi IPTL na VIP wakutane, na Muhongo ndio alifacilitate hao wakutane na wamalize tofauti zao ili Tanesco iwe free
sasa hapo tatizo la Muhingo liko wapi? Katika list uliyonayo Muhongo kapiga ngapi?
Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.
kulingana na kamati ya PAC nimeisoma hadi mwisho hamna sehemu mwanasheria mkuu, waziri wa madini, au katibu mkuu wa wizara ya madini walipewa hela sehemu yeyote
kosa lao ni kwa sababu ni viongozi wa mwisho kwa maamuzi sehemu zao za kazi
Tuzidi kuwapa nyazifa kubwa kwa sababu si wezi bali wanahitaji kujifunza mambo ya uongozi
wote hao kosa lao ni kutosoma mambo ya uongozi
182 billion Ndiyo zilikuwa escrow, ilitakiwa ziwe 306 billion, tanesco bado hawajalipa, kodi haizidi billion 30. Hata ikikatwa 30 b Bado Serikali G
Zitto amepiga porojo tu.
Mimi haingii akilini kuwa umetaja majina ya watu waliochukua 3.3bilions lakini hutaki kutaja majina ya watu waliochukua 73Bilions .Je hiyo kamati una uchungu na Taifa hili???Au kuna mpango wa urais hapo???Hii ripoti ya Zitto imenikumbusha enzi zileeee za utoto hasa suala la kuoga asubuhi ndo uende shule. Nilikuwa nanawa uso, mikono na miguu yaani kupiga passpot.
Zitto umeamua kuyavulia maji nguo, oga!. Uoga wa nini sasa? Wewe taja hata kama mkulu alipata bahasha sema ili kuepuka kuwa Simon wa Kirene aliyemsaidia nabii Issa kubeba msalaba wake.
Labda kama umeyaweka majina hayo reserve kama kinyango cha kusuuzia mdomo wakati wa tonge la mwisho. Najua unayo.
Cc: Zitto Kabwe.
Ungenielewesha kuliko kuniattack..kama wewe umeelewa..basi nipe ufafanuzi..its just that simple. Hapa mie naona kuna yaliyojificha na sisi tunashabikia tusichokijua
Mingoi, mpaka sasa naiona ni drama na fitna lakini sijaona haswa sheria iliyovunjwa. Usisikie zile porojo za Zitto. Ngoja kesho.