Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Sadaka ya ondoleo la dhambi! Umenichekesha haswa. Sadaka inapewa kanisa siyo askofu! Kilaini atasema tu akijaribu kujitakasa japo hatatakasikaPengine ndio maana alihamishiwa porini huko. Yawezekana pia alilipwa kihalali. Sadaka ya ondoleo la dhambi