Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

Jamani eti watu walikuwa wanaenda kubeba hela na.mifuko na sandalusi na.magunia
 
Mimi naomba tu taarifa kwamba Kilaini ataongoza misa next Sunday?
 
Taasisi hio sawa na Bakwata tu ila wao hufaidi maulaji bakwata wao hubwabwaja tu
 
Walitakiwa wayajibu kwa CAG (na PCCB). Au wataka watuhumiwa nao waandike report kama ya CAG kujibu hoja? Muda wao wa kujitetea ulishapita. Maandishi yanawaua.
Eti uchunguzi wa CAG unashindwa kubaini kiasi gani ndo hela ya umma wanaishia kusema eti sehemu ya pesa yaweza kuwa ya umma ama kwa overcharging ama kwa kukwepa kodi,ina maana hawana uhakika,sijui sasa walikua wanafanya uchunguzi gani.
ilitakiwa exactly figure zipi za iptl na zipi za umma.
 
Hana kosa lolote..............He is a BONA FIDE Receiver
 
ombi kwa wahusika, tunaomba report ya pac iletwe jamvini, tuisambaze nchi nzima
 
Umesahau kuitaja benki ya mkombozi inayom ilikwa na RC nayo imetia aibu na inatoa mfano mbaya kwa waumini wake.
 
Wanigambila stupid mno,infact actually mazima kwakweli ututake radhi wahaya kwa kupaita Bukoba porini.
Vinginevyo ntamuagiza mtoto wangu Kokuberwa aliyegraduate masters ya sheria nchini Urusi akuburuze mahakamani.

Nagamba atakuwa amechelewa muno. Mmh! Mgambile ile hela siyo halali ilitakatishwa
 
zito ndo nan hapa mpeni sifa zake yule alotukanwa na kuitwa tumbili huku meza zikigongwa.
 
Walitakiwa wayajibu kwa CAG (na PCCB). Au wataka watuhumiwa nao waandike report kama ya CAG kujibu hoja? Muda wao wa kujitetea ulishapita. Maandishi yanawaua.

Hukusikia Anna Makinda amesemaje kabla hajafunga bunge leo? au hujapenda?
 
Bunge litaendelea kesho, watuhumiwa wamepewa muda wa kujitafakari na kuandika barua za kujiuzuru.

LOWASSA COME BACK.

Ona huyu nae kwahiyo NCH hii niyahao hao2....huyu akiiba anarudishwa aliesahaulika duh.....km nihivi bado tunasafairi ndefu
 
Kweli kabisa lakini suala ni nani ataisimamia serikali ili itekeleze mapendekezo ya kamati ya PAC kwa ukamilifu na katika muda mwafaka ndio. Pengine wafadhili waendelee kubana kutoa pesa zao mpaka waone matunda yanayotakiwa.
 
Back
Top Bottom