WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Wote wakiongozwa na Pinda wawajibike!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye ni dalali wa PAP na JR,Kuwatumia Zitto,Mengi na Mkono ili kupangua ufisadi wake,ni hoja dhaifuHana shida na Triangle ya Zitto, Mkono na Mengi, anawajua vizuri sana na ndio maana alikuwa anacheka tu
we m.a..y.a kaa mbali na nna hasira na escrow afu unataka kunitibua
Taarifa za kuaminika toka ikulu nikuwa tayari Pinda, Tibaijuka, Mhongo na Maswa wameshawasilisha barua za kuachia madaraka na wanasubiri tu baraka za mamlaka ya uteuzi tu.
Duuu hawa 'watumishi' wa Mungu hawatosheki na sadaka, matoleo na fungu la moja kwa kumi hadi washadidie fedha haramu!!!SOMA MAJINA YA WALIOKULA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW KATIKA RIPOTI YA PAC INAYOSOMWA SASA BUNGENI. Zitto: Upande wa viongozi wa kisiasa ambao waliingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mhe. Andrew Chenge (Mb) Zitto: Andrew Chenge aliingiziwa shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe. Anna Tibaijuka (Mb) na Waziri wa 62 Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi shilingi bilioni 1.6. Zitto: Mhe.William Ngeleja (Mb) na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Daniel N. Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini alipewa shilingi milioni 40.4. Zitto: Ndg. Paul Kimiti ambaye ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Sumbawanga alipewa shilingi milioni 40.4 Zitto: Dr. Enos S. Bukuku ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya TANESCO aliingiziwa shilingi milioni 161.7. Zitto: Upande wa Majaji Prof. Eudes Ruhangisa, aliingiziwa milioni 404.25 na J.A.K Mujulizi aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: kwa upande wa Watumishi wa umma,Ndg. Philip Saliboko ambaye alikuwa mtumishi wa RITA aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Emmanuel Daniel Ole Naiko ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TIC) aliingiziwa shilingi milioni 40.4 Zitto: Ndg. Lucy L. Appollo ambaye ni Mtumishi wa TRA aliingiziwa shilingi milioni 80.8. Zitto: Viongozi wa Madhehebu ya Dini walioingiziwa fedha na Benki ya Mkombozi ni Askofu 63 Methodius Kilaini shilingi 80.9 Zitto: Askofu Eusebius Nzigirwa shilingi milioni 40.4 na Mchungaji Alphonce Twimann Ye Simon shilingi milioni 40.4. Zitto: Watu walienda kugawana fedha kwenye Benki tajwa wakiwa na mifuko ya rambo, sandarusi, mabox, magunia na lumbesa TegetaEscrow Zitto: Bilioni 73.5 zilitolewa na kugawanywa kwa watu mbalimbali kinyume cha Sheria ya Benki Kuu na Taasisi za Fedha ya 2006 Zitto: Taarifa ya benki (bank statements) yenye majina na akaunti zote zilizoingiziwa fedha zimeambatishwa. Zitto: Kamati imebaini mawasiliano kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Taarifa za kuaminika toka ikulu nikuwa tayari Pinda, Tibaijuka, Mhongo na Maswa wameshawasilisha barua za kuachia madaraka na wanasubiri tu baraka za mamlaka ya uteuzi tu.
Samahani wadau mimi sijaona Pinda, Muhongo, Maswi, Werema, Ndulu, na Mbowe wanavyhusika. Sijaona hii report ikibainisha hela zinazopaswa kurudi.
Wakari tunaelekea 2015 chadema itafakari namna ya kuziba mianya yote inayoweza kuikosesha kura hâta moja wakati wa uchaguzi wa 2015. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na Zitto kurudishwa kundini kwa garama yoyote. Kwa muonekano wa dhahiri zitto ni mwana cdm halisi anayeipenda cdm kwa moyo wake wote. Zitto amejifunza na chadema imejifunza kitu Pia kutokana na yaliyototokea ndani ya cdm. Kwenye mkakati huo CUF imrudishe Hamadi Rashid Pia ili kulinda kura za hamadi na zitto zisipotee kwenye UKAWA. Kufanya hivyo ni sehemu ya mpango mkakati wa kukamata dola 2015. Nikimuangalia zitto ataisaidia sana cdm mbele ya safari. Chama kitumie its uncommon sensé kufanya uwamuzi huu mzito wa kikomavu
E-elimu
S-shida
C-ccm
R-roho zao mbaya
O-ombaomba
W-wezi