Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ππππππNdio maana mechi na alger vilicheza rough sana. Inaonekana mechi yao dhidi ya yanga vilijifunza kwamba ligi ya mabingwa huruhusiwi kulialiaView attachment 3199058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππNdio maana mechi na alger vilicheza rough sana. Inaonekana mechi yao dhidi ya yanga vilijifunza kwamba ligi ya mabingwa huruhusiwi kulialiaView attachment 3199058
Yanga wishing you all the bestKaribuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
Verse versa is trueWanainchiiiiiiiiiii ulimwengu wa roho unasema tutashida magoli 3. Kwa bila
Ulimwengu wa roho ndio upi?Wanainchiiiiiiiiiii ulimwengu wa roho unasema tutashida magoli 3. Kwa bila
Mzee wa "siti ya mbele" leo umechukua siti yako!Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
We umekimbilia kuanzisha uzi usiku usiku ili uwe wa kwanza... Sasa hakikisha unatuletea live updates kweli sio kama mabungunya wengine wanaanzisha live updates halafu anapost full time..Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)
Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?
Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..
#TotalEnergiesCAFCL
πππππIbenge : kikombe mlichokinywea LUPASO ndio hicho hicho mtakinywea Leo utopolo hakikisheni mmekula mapema π₯΅