Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

I had the most amazing dream today! I dreamt that Yanga was going to win this game, with the final score being 3-2. The winning goal was going to be a fantastic free kick scored on the left side of the goalkeeper.
You didn't kojoa on bed because of that daydream?
 
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)

Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?

Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..

#TotalEnergiesCAFCL
Yanga anashinda bila kupepesa macho kabisa✅… Hakuna droo wala cha nini
 
Leo ni mwendo wa four figure na calculator
 
Attachments

  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 1
Yaani jinsi watu wanavyoombea KIROHO Yanga ishinde au ishindwe sijaona ikifanyika hivyo kwa mambo mengine ya nchi yetu.

Huu usiriasi tungeufanya pia kwenye mambo mengine muhimu ya nchi yetu tungekuwa mbali Sana.

Mimi ni shabiki wa Mpira lakini huwa pia najiuliza, ni kwa nini watanzania tuna commitment kubwa Sana kwenye usimba na uyanga kuliko mambo yetu mengine?

Au Kwa kuwa ushabiki wa Mpira hautishii ajira zetu, biashara zetu, usalama wa maisha yetu na mahusiano yetu na dola yanabaki salama?

Usimba na uyanga umeingia hadi Kwa "manabii na mitume" na sisikii wakiambiwa wanachanganya mpira Na dini kama huwa wanavyoambiwa kuwa wanachanganya siasa na dini🙄.

Yote kwa yote mpira Kwa Tanzania ndiyo sehemu pekee watanzania tunaweza kuonesha hisia zetu bila ya kuwa na hofu ya kudhuriwa na dola.

KILA LA KHERI YANGA!!
 
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)

Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?

Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..

#TotalEnergiesCAFCL
Kwa Floraa Ibenge, Uto anakaa kwa bao ni zile zile 0-2. Na kwa matokeo hayo, zile ndoto zake za kufika robo fainali zinaishia hapo.
 
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa Mashariki (1900Hours GMT/UTC)

Nini kitatokea katika mechi hii ambayo Yanga anahitaji matokeo ya ushindi zaidi ili ajiweke mguu sawa kutinga Robo fainali ilihali Al Hilal wanahitaji sare kufuzu hatua inayofuata na kuongoza kundi?

Kuwa nami mwanzo, kati hadi mwisho wa mchezo huu..

#TotalEnergiesCAFCL
Wacha uzabizabina kuvamia threads za watu, kitulize huku huku kwenye uzi wako ulioanzisha
 
Timu kubwa,taifa kubwa,mashindano makubwa na uhitaji wa matokeo ni mkubwa,mipango mikubwa,wachezaji wakubwa,mchezo ni mkubwa,matokeo ni moja tu YANGA AFUNGE,AU AL HILAL APIGWE. KILA LENYE KHERI YOUNG AFRICANS SC. FT 0 3
 
Kiswahili: Gusa, Achia, Twende kwao

Kiingereza: Touch, Let Go, Let's Go to Their Place

Kifaransa: Pousse, Lâche, Allons chez eux

Kihindi: धक्का दो, छोड़ो, चलो उनके पास चलते हैं।

Kigogo: Pamye, lechele, chibite kwawo

Yanga Bingwa...

CC: Kolozidad United...
 
Back
Top Bottom