ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 921
- 2,163
Najaribu kuwaza kwa sauti Mashabiki wa Simba wanawananga sana mashabiki wa Yanga.. Vipi leo wao Simba wakafungwa na Yanga wakashinda..
Mashabiki wa Yanga sijui watatulizwaje maana calculator zitaamia upande wa Msimbazi.
Mpira wa miguu huwa na matokeo katili sana. Leo yetu macho! maana mmoja kati yenu(Simba au Yanga) anaenda kufungwa na ndo mwisho wake hakuna robo fainali.