Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Mawazo yako yaheshimiwe!
Ijapokua mimi binafsi nilishaga Move on...
Kwasababu Gamond asingedumu milele! Lazima angetoka hali kadhalika wachezaji! Ijapokua imeonekana Hersi alifanya maamuzi mabaya ila haina shida hakuna anaeidai Yanga! Hata tukiishia makundi bado sio kesi ni swala la kujipanga mwakani hamna timu haianguki haipo! Madrid pamoja na kuwekeza ila kafa 5 - 2 leo kwa Barca! So ni vitu vya kawaida ni vile hapa bongo tunavikuuuuuuuuuza sana
 
Kwangu yalishapita my girl wala sijayaleta mimi, naweka mambo sawa tu.
 
Sisi hatuushii makundi game ya mwisho mtu anakula 5
 
Gamondi angetushusha daraja mbwa yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…