ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hauoni pressing? fitness pia hauioni?Huyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauoni pressing? fitness pia hauioni?Huyu kocha wala asishangilie, ni bahati tu tuna kikosi cha dhahabu ila hana lolote.
Mawazo yako yaheshimiwe!Hadi leo msimamo wangu ni uleule, haukuwa uamuzi sahihi.
Maamuzi yalitangazwa hadharani, nami nilisema hadharani na hata sasa nasema Hersi alizingua.
Leo hii tupo kwenye pressure ya kutegemea mechi ya mwisho kwa ajili ya maamuzi yale ya kipumbavu.
Kama kwako/kwenu ulikua uamuzi sahihi ni sawa.
Kwangu yalishapita my girl wala sijayaleta mimi, naweka mambo sawa tu.Mawazo yako yaheshimiwe!
Ijapokua mimi binafsi nilishaga Move on...
Kwasababu Gamond asingedumu milele! Lazima angetoka hali kadhalika wachezaji! Ijapokua imeonekana Hersi alifanya maamuzi mabaya ila haina shida hakuna anaeidai Yanga! Hata tukiishia makundi bado sio kesi ni swala la kujipanga mwakani hamna timu haianguki haipo! Madrid pamoja na kuwekeza ila kafa 5 - 2 leo kwa Barca! So ni vitu vya kawaida ni vile hapa bongo tunavikuuuuuuuuuza sana
Bado, namsoma taratibu. Sijaona mabadiliko makubwa ya kupigiwa chapuo.Hauoni pressing? fitness pia hauioni?
Sisi hatuushii makundi game ya mwisho mtu anakula 5Mawazo yako yaheshimiwe!
Ijapokua mimi binafsi nilishaga Move on...
Kwasababu Gamond asingedumu milele! Lazima angetoka hali kadhalika wachezaji! Ijapokua imeonekana Hersi alifanya maamuzi mabaya ila haina shida hakuna anaeidai Yanga! Hata tukiishia makundi bado sio kesi ni swala la kujipanga mwakani hamna timu haianguki haipo! Madrid pamoja na kuwekeza ila kafa 5 - 2 leo kwa Barca! So ni vitu vya kawaida ni vile hapa bongo tunavikuuuuuuuuuza sana
Gamondi ni kocha mzuri ila alifika sehemu akalewa mafanikio pia aliua viwango vya wachezaji mfano Kibwana, Musonda, FaridBado, namsoma taratibu. Sijaona mabadiliko makubwa ya kupigiwa chapuo.
Gamondi angetushusha daraja mbwa yuleHadi leo msimamo wangu ni uleule, haukuwa uamuzi sahihi.
Maamuzi yalitangazwa hadharani, nami nilisema hadharani na hata sasa nasema Hersi alizingua.
Leo hii tupo kwenye pressure ya kutegemea mechi ya mwisho kwa ajili ya maamuzi yale ya kipumbavu.
Kama kwako/kwenu ulikua uamuzi sahihi ni sawa.
Tena Mbogomaji 😀😀😀Yanga kwenye mechi za maamuzi wanakuaga mbogo
Angetushushaje daraja na sisi tulikuwa tunashinda tunaongoza league are you stupid or whatGamondi angetushusha daraja mbwa yule
Ww ni mjinga ....View attachment 3200132
Ibenge chukua bahasha hyo mtulegezee coz nyie mmeshavuzu
FTMkuu kwani mechi imeisha? Hizi mambo andika FT
Shukran kwa Azam, serikal na KariaIla Tanzania soka limekua