Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Itakuwa aibu kubwa kufungwa na timu inayofanya mazoezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata kichekesho hiki tuma kwenda namba 15522Nimeangalia mechi nyingi za cafcl kwa Yanga hii iliyojipata ikishinda group stage mostly mechi ya Leo basi final hii hapa
Ni Ahly pekee ndio team itakayotusumbua
Watatuchoma hatutoamini😅Marefarii wote ni majirani zetu, wanatoka kwa Kagame
Anajua uto anapigwa😂🤣Huyu refa mbona ana kiherehere sana?
Kafunga?Huyu Boka tungempata enzi ya Mayele kusingekuwa na drama ya kugombea kiatu, mtu sana.
Kuwa na adabu basi, futuhi ndio imeisha tumeingia klabu bingwa sasa.Muda wa futuhi sasa
Au mpaka tufungwe?Mods mmetudharau??
Kama akili yako haifanyi kazi sawasawa potezea posts zangu Mkuu.Kafunga?
Kweli umehemkwa. Bas ngoja tusubirie dk 90 za IbengeKama akili yako haifanyi kazi sawasawa potezea posts zangu Mkuu.
Hizi kazi za kuanzisha matchday thread hasa za yanga wangemuachia Vincenzo Jr tu maana hakuna hata update mleta mada analetaMods mmetudharau??