Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

Na Mimi nimeshangaa mtu mzima analia eti kwa kuwatoa waarabu wa igunga kwa penalty kaona ni jambo ambalo ni la ajabu sana kwake🤣🤣
Wenzake wamekipiga fainali na kushinda uko uko ugenini wangekuwa wao angezimia na kufa kabisa maskini!
Bado unashangaa au umemaliza? 🤣🤣🤣
 
Msimu ujao yanga tutumie huu uwanja wa mbweni JKt uko poa sana
 
Mashabiki wote wa yanga hawana akili kutwa kujiapiza, ban ban yamesahau kuwa yana mechi. Lolote baya liwakute, uto wakubwa nyie.🐸🐸

View attachment 3298477
Simba mnajua kukera sana ndio maana wengine huwa hatutaki kusikia mnashinda. Niseme tu MNAUZI SANA NYAU NYIE

Na aliyetupachika hiyo alama ya chura kwa kweli Mungu anamuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…