princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Wameshaanza kutuzoea zoea mimi hata Lambalamba wakicheza na Simba nashabikia Simba! Walituvunjia wachezaji wetu hawa washenziHivi Wanajangwani, hivi mnajua kisasi chetu na Azam bado hakijalipwa?
Hawa waliturudisha nyuma sana kwenye CAFCL.
Game iliyofuata ikaishia kwa matuta.
Tunawadai hawa watu ndani ya dakika 90'
Wapigwe kipigo cha Mbwa Koko.
Okay, leo ndio anapata pancha sasa.Ni mzima
Angalia video zangu pale Yanga TV uchukue notice zitakusaidia. π Cc ephen_
min -me View attachment 3067001
Angalia video zangu pale Yanga TV uchukue notice zitakusaidia. π Cc ephen_
min -me View attachment 3067001