financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Tatizo moyo unaanza then baadaye unagundua kumbe Simba aah🤣Huwa nawashangaa sana warembo wa JF kudate na Makolowizard.
Huwa mmakosa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo moyo unaanza then baadaye unagundua kumbe Simba aah🤣Huwa nawashangaa sana warembo wa JF kudate na Makolowizard.
Huwa mmakosa nini?
Simba awezi kukaa benchChama ajiandae kuzeekea kwenye benchi!! Mwisho wa siku ataishia kwenye timu kama KMC, kwa sasa akirudi Simba pia ataozea benchi!!
Wachawi ninyi!!Huwa nawashangaa sana warembo wa JF kudate na Makolowizard.
Huwa mmakosa nini?
My love my love my love. I called you three times!!Jitahidi hata upretend, otherwise usirudi nyumbani leo🤣
Kama unashabikia Simba, nakuacha nenda kwa hao Simba Queens 🤣
Yes babe, tell me you're not a Simba fan anymore 🤣 otherwise leav..... m.. alone.My love my love my love. I called you three times!!
Tatu tu zinawatoshaAzam itabidi tuwapige tano
Kikosi cha yanga, we huogopi.....
Kama weweutaingia ntaogopaKikosi cha yanga, we huogopi.....
Nafurahi sanaa akikaa benchiChama atakaa bench sanaaaa
Tunachuma muda wowote tunaotaka.....😹😹Azam ni kama mwembe wetu wa uwani tu.
Kila la kheri Timu ya Wananchi
#DaimaMbeleNyimaMwiko.
na ikitokea Ki Aziz yupo vzuri ndo haingii kabsaaNafurahi sanaa akikaa benchi
Kabisa yaani.Tunachuma muda wowote tunaotaka.....😹😹