SMART PASSENGER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 1,355
- 2,117
HatoboiMorocco atafika Robo fainali kilaini kabisa..
Brazil nzuri kushinda zote ilikuwa ni ile ya akina Pele, Garrincha, Tostao, Mario Zagalo, Didi na wengine, fainali tu walikuwa wanapiga mtu goli 4 au 5.Sisi watoto tuliozaliwa miaka ya 90 ndo tunateseka na Brazil.
Tulishuhudia Brazil Bora kabisa ya akina Ronaldo,cafu,dunga,romario, denilison, Ronaldinho n.k
Lakini Sasa naona maruwe ruwe tu.
Ahaa hyo sijaiona.Brazil nzuri kushinda zote ilikuwa ni ile ya akina Pele, Garrincha, Tostao na wengine, fainali tu walikuwa wanapiga mtu goli 4 au 5.
Yaani najionea mauza uza tu.Kabisa.
Enzi za Brazil kutamba World Cup zimeshapita.
Namba tisa yenu? kwani timu ya ccm inashiriki?Yaani najionea mauza uza tu.
Kuna mwamba alikuwa anaingia mwishoni anapiga chenga timu nzima.leo namba Tisa yetu ndo yule para🤔🤔
Namba tisa yenu? kwani timu ya ccm inashiriki?Yaani najionea mauza uza tu.
Kuna mwamba alikuwa anaingia mwishoni anapiga chenga timu nzima.leo namba Tisa yetu ndo yule para🤔🤔
Unasahau mapema.
Ebu kumbuka kule Qatar wamoroco walisemaje
Pole sana pan, na bado morocco ataendelea kusumbua mpaka wenye chuki wazidi kuumiaNa wapigike tu hakuna namna, tuko na Brazil dk 90 za mchezo
Morocco inshaallah watafika mbaliLolote baya, limkute yoyote.
Acha chuki mwanaume, dua la kuku kamwe halimpati mwewe, na bado wataendelea kusumbua huko mbele mpaka mzidi kuumia mwekwa 😄 hao ndio Morocco uwapende usiwapende, na jana walikichafua ile mbayaHii game waseng* wa Morocco wanashinda ila hawafiki popote
Naipenda brazil
Ukiona hivyo wape kongole moroccoHadi muda sijaona mpira wa Brazil niloutegemea
Hafiki popote huyo.Pole sana pan, na bado morocco ataendelea kusumbua mpaka wenye chuki wazidi kuumia
Brazil out soon
Time will tell.Morocco inshaallah watafika mbali
Unaleta siasa .Mimi nishabiki wa Brazil na mike Tyson maana ndo watu wakati nakuwa walikuwa kwenye ubora.sijawahi kuwa ccm Wala taifa stars Wala chama chochote Cha siasa.ila napenda haki .sipendi udhalimu Wala kuonewa.Namba tisa yenu? kwani timu ya ccm inashiriki?