Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hoja baadae watakoma hao waburundiMtaenda kuzibulishwa mitalo huko mabibo shauri yeno Vitalo
Cookie alimkataa! πYa kitengo cha HQ ilee Cc uran
Additional amaTo think out side the box or social inference
Kumbukeni IhefuLeo tunawapiga na kitu kizito sana
ππππ Sio yake ile ya HQ paleUsikute hata ni id ya uran πΉπΉπΉ
Hapana, mbumbumbu ni mashabiki wa thimbaaaaa! By Hon. Aden Ismail RageNdio Utopolo?
siombei mtu bila kupokea sadaka kwa kweli hahahahahaaHongera sana Mtumishi, natumaini umetuombea na Sisi wakosefu..!!
Siku nyingine ya kufurahi ππ
Kabisa nilikuwepo siku ilee ila nilishangaa jamaa alipanda kwa juu ππCookie alimkataa! π
au ndio yeye nini π€£π€£.
Huyo mwamba huwa ananifurahisha sana.
Siku moja nilijua ni mtu wa kitengo HQ alikuja akakuta watu tusharuka na Simba yetu.
Alichofanya akazichabanga post zetu.π€£π€£π€£
Safi sanaBado saa chache tu.
Niko njiani sasa kuelekea Chamazi