Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Huna sifa za utumishi ikiwa wewe ni mlevi wa alcohol, weed, mtoa vichapo ama mpenda maokoto (sadaka)siombei mtu bila kupokea sadaka kwa kweli hahahahahaa
2:45min before kickoffKaka naona goli 6 kavu
Azam imelipiwa hapa ila haionyeshi nifanyajeKila la kheri chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara [emoji41][emoji41][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169] baaaadae ushindi lazima Cc ephen_
CC Bantu Lady Nifah Carleen
Timu yako kubwa inacheza lini mkuu🥴Timu kubwa hazichekiz wkend hiii.
Hizi mechi ni za Vitimu vidogo vidogo. Tena ni fedhea kwa Shabiki kukaa anasifia na kutoa povu kuhusu vimechi uchwara kama hivi. Halafu kuna watu wakikaa wanaamini Timu yao ni kuuubwa kumbe huko CAF level yake ni dizaini ya KenGold au Pamba.
Hakuna Vital O nyie ni mijisimba mnajificha nyuma ya VitalVital'O tujuane mapema!!
Mmejaa kama pishi la mcheleTupo tumejaa
Levi moja la chimpumu lilisikika likinena huko tarafa ya NyakatombeYanga huwa wanahonga cuf ili watafutie vitimu vilivyoadhirika au vilivyopo kwenye vita ili wajipigie.duh ila kuna mwisho wa janja janja
Namna hiyo.Kila la kheri chama langu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara [emoji41][emoji41][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169] baaaadae ushindi lazima Cc ephen_
CC Bantu Lady Nifah Carleen
Nenda kibanda umiza tuAzam imelipiwa hapa ila haionyeshi nifanyaje
Piga huduma kwa wataje watafungua channel hizo 0784108000 au chati naoAzam imelipiwa hapa ila haionyeshi nifanyaje
Quality imeshuka ipo 40% fundi mpaka sasa hajafika😒Piga huduma kwa wataje watafungua channel hizo 0784108000 au chati nao
Azam TV | Dar es Salaam
Azam TV, Daressalam. Gefällt 1.144.636 Mal · 36.684 Personen sprechen darüber · 15.737 waren hier. Azam Media Ltd is a Tanzanian media company owned by the Bakhresa Group. Under the AzamTV brand |...www.facebook.com
Watafungua fasta
Kumbe ni dishi 😭 Lol polee aisee fanyaa hivi hapo kama una mashine ya kupima signal panda juu hapo rahisi tu Spana Namba 12,13,na 14Quality imeshuka ipo 40% fundi mpaka sasa hajafika😒
Unataka nianguke😂Kumbe ni dishi 😭 Lol polee aisee fanyaa hivi hapo kama una mashine ya kupima signal panda juu hapo rahisi tu Spana Namba 12,13,na 14
Mbona rahisi sana kuseti Hilo dishi hapo acha uwoga andaa ngazi na spana hapo mixer mashine ya signal ukishindwa tafuta kijana hapo aliye karibu apande fasta 😎Unataka nianguke😂
Game on saa 10 jioniSaa ngapi hii wadau