Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Huna sifa za utumishi ikiwa wewe ni mlevi wa alcohol, weed, mtoa vichapo ama mpenda maokoto (sadaka)siombei mtu bila kupokea sadaka kwa kweli hahahahahaa
1 Tim 3:3
si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana, wala asiwe mwenye kupenda fedha;