princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Kumbe sio mkwalaKumbe wanaweza kufanya jaribio moja moja, nilidhani ni mkwara wa msemaji wao tu
😀😀😀
Inabidi tuwaulize waliopo azam tv na Azam Complex
Nini kinajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe sio mkwalaKumbe wanaweza kufanya jaribio moja moja, nilidhani ni mkwara wa msemaji wao tu
😀😀😀
Kwa ufupi, hizi raundi za mwanzo (preliminary rounds) huwa zinachukuliwa na CAF kama qualification rounds, ndio maana vitu vingi huwa haviingizwi kwenye rekodi (magoli, kadi nk). Wakifika group stage, CAF ndio huwa inaanza kuhesabu kwamba mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho yameanzaMimi YANGA damu
KWAN KLABU BINGWA AFRIKA IMEANZA MBONA SIMBA AL AHLY MAMELOD HAWACHEZI ILA SISI UTOPOLO TUNACHEZA SSHV AU HII NI NDONDO CUP🏃🏃🏃🐸🐸🐸
UBUNTU BOTHO
Jiheshimu😂Kipa wa vital kashikwa na ngiri masikini.....😔
Anaecheza shirikisho si ni simbayanga wawe makini huku sio shirikisho
Makasiriko ya kutoka msimbazi.Timu kubwa hazichekiz wkend hiii.
Hizi mechi ni za Vitimu vidogo vidogo. Tena ni fedhea kwa Shabiki kukaa anasifia na kutoa povu kuhusu vimechi uchwara kama hivi. Halafu kuna watu wakikaa wanaamini Timu yao ni kuuubwa kumbe huko CAF level yake ni dizaini ya KenGold au Pamba.
Haanzi raundi ya awali maana kiwango chake kwa CAF ni kikubwaSimba anacheza Klabu bingwa?
Sawa bro, nitajiheshimu 😹Jiheshimu😂
Mimi naongelea mgawanyo mzuri wa rasilimali, wewe unacheka😀😃😄😁
Hizo timu ulizotaja ni moja tu ndo ipo SHIRIKISHOMimi YANGA damu
KWAN KLABU BINGWA AFRIKA IMEANZA MBONA SIMBA AL AHLY MAMELOD HAWACHEZI ILA SISI UTOPOLO TUNACHEZA SSHV AU HII NI NDONDO CUP🏃🏃🏃🐸🐸🐸
UBUNTU BOTHO