Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

Mimi YANGA damu
KWAN KLABU BINGWA AFRIKA IMEANZA MBONA SIMBA AL AHLY MAMELOD HAWACHEZI ILA SISI UTOPOLO TUNACHEZA SSHV AU HII NI NDONDO CUP🏃🏃🏃🐸🐸🐸



UBUNTU BOTHO
Kwa ufupi, hizi raundi za mwanzo (preliminary rounds) huwa zinachukuliwa na CAF kama qualification rounds, ndio maana vitu vingi huwa haviingizwi kwenye rekodi (magoli, kadi nk). Wakifika group stage, CAF ndio huwa inaanza kuhesabu kwamba mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho yameanza
 
Timu kubwa hazichekiz wkend hiii.
Hizi mechi ni za Vitimu vidogo vidogo. Tena ni fedhea kwa Shabiki kukaa anasifia na kutoa povu kuhusu vimechi uchwara kama hivi. Halafu kuna watu wakikaa wanaamini Timu yao ni kuuubwa kumbe huko CAF level yake ni dizaini ya KenGold au Pamba.
Makasiriko ya kutoka msimbazi.
 
Back
Top Bottom