Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Ngoma?!!! Nimeamini mashabiki wa simba ni mbumbumbu nami nikiwa mmoja wao.
Hakika aliyeturoga alishakufa
Kula NYAMA NYAMAZA, unaweza kuniambia ubaya wa ngoma? Kwa haraka haraka okjepha kamzidi nini ngoma, sasa hivi wanacheza wote wawili ngoma anaharibu wapi?

Maswali ya msingi hayo.
 
Simba inaendelea kuunganika. Katikati naona tunajitahidi sana sana. Eneo la namba 10 na mshambuliaji wa mwisho bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…