Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Pia unaunga mkono kwamba Ngoma baada ya kupewa red card, alitakiwa afanyiwe substitution
Kula NYAMA NYAMAZA. 🤣

vingine unavunga tu mzee, sasa mtu ana kadi nyekundu anatolewaje sub!? Nahisi alimaanisha simba imtoe mtu, lakini sio ngoma ambae tayari kala umeme 😂
 
Big Up.
Updates nzuri
 
Huu mpira balua angeachia moja kwa kibu ingekuwa bora zaidi, si mbaya kajitahidi kapiga on target, ila angepasia ndio ingependeza zaidi.
Makosa ya leo yatatugharimu sana kwenye ligi. Tumejiweka kwenye mazingira ya timu ndogo kutuona wa kawaida na hivyo kutoingia na woga wanapocheza na Simba. Kocha kazingua na wachezaji wamezingua pia.
 
Yaani pamoja na kuwa Pungufu Lkn hauoni timu kuzidiwa.....nami nasema Simba timu Wanayo....mwaka huu Yanga ni Kujiandaa kisaikolojia
 
Reactions: Tsh
Hii kushika nafasi ya tatu haina mvuto kwa kweli!!
 
Leo mikia wameshinda lakini furaha imepungua tofauti na walivyofungwa na mabingwa wa nchi Wananchi.
 
Makosa ya leo yatatugharimu sana kwenye ligi. Tumejiweka kwenye mazingira ya timu ndogo kutuona wa kawaida na hivyo kutoingia na woga wanapocheza na Simba. Kocha kazingua na wachezaji wamezingua pia.
Kumekucha, kumekuuuchaaaaaa

Mmeanza kurudiwa akili kidogo kidogo
 
Mchezo tangulizi wa under 17 umeisha ngoja tusubiri mechi ya kilabu bigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…